@o.khan_quotestz: Allah anajua nani ameandikiwa kuwa wangu. Kama ni wewe, Atakuleta kwangu kwa njia iliyo bora na kwa wakati Wake. Na kama si wewe, basi Atanijalia subira, utulivu wa moyo, na nguvu ya kukusahau. Ninamuamini Mola wangu, kwani kila analolikadiria lina hekima, hata kama leo silielewi. 🤲❤️#creatorsearchinsights #trending #fypシ #crying #sadvibes @tiktok creators @TikTok
mbona Mimi naishi kwa maumivu iv mbona nashindwa kusahu mbona nimeshamuachia mungu mbona napitia machungu iv kwa nini nimekosea mungu mpka anashindwa kunisalimia nimsahau mpaka nataka kufanya maamuzi mabaya ya kunizalilisha jamani hali huu mpaka lini Kila kitu changu kimesimama naumiaaa jamanii
2026-08-04 14:25:24
1
𝑀𝓇𝓈.𝒪.𝒦𝒽𝒶𝓃🥀💍♥️ :
🥹🥹
2026-08-04 08:15:29
1
𝑨𝒔𝒉𝒌𝒊𝒆 𝒘𝒂 𝑶𝒎𝒚🫂🌹 :
🥹🥺
2026-08-04 08:21:04
1
To see more videos from user @o.khan_quotestz, please go to the Tikwm
homepage.