@bakwata_temeke: FUNZO KUTOKA KWA ASKARI "Amani haitokani na anga. Ni sisi wananchi ndio tunaitengeneza" Nasaha nzito sana kutoka kwa jeshi la polisi. Tufanye nini ili kudumisha amani? Andika comment yako Share ili ujumbe ufike kwa kila mtaa. #ElimuYaUmma #AmaniDumu #JeshiLaPolisiTZ #VijanaNaAmani #BAKWATA
kukufuru ni pamoja na kutokufanya haki na uadilifu.
2026-08-04 07:58:42
3
choloboy :
mashaalla
2026-08-04 03:43:22
0
MC.SAIRIS@mtoto wa rais. :
huyu ni mzanzibari kabisha mashallah udugu uendelee
2026-08-04 06:59:12
4
See us! :
mashallah polisi wetu kwa elimu mzurii
2026-08-03 19:55:19
15
@bakofa2 :
kuwa polis sio kuacha dining yako ,Allah akulinde kaka🙏
2026-08-04 02:28:41
34
babukibe14 :
Allah akuhfadhi wewe na kizazi chako.safi sana
2026-08-03 19:34:39
26
user7278735468259 :
jazaack llahu khairu
2026-08-04 05:44:39
2
Real.MDEL ONE_ :
nachukua funzo naiacha bakwata 😂😂😂
2026-08-04 04:53:41
3
Moza Maaba :
mashqllah
2026-08-04 05:32:09
1
Zahra Husain :
Mash Allah tabarkallah
2026-08-04 02:07:40
4
Nazifuonegroup :
Nao askari wakamwuliza, “Na sisi tufanye nini?” Naye akawajibu, “Msichukue vitu vya mtu yeyote kwa nguvu wala kumshtaki yeyote kwa uongo. Toshekeni na mishahara yenu.”
2026-08-04 07:07:30
2
Adidja Hassan :
Mashaallah
2026-08-04 00:18:35
1
rukia masayanyika :
manshaallah, hapo ujulikane kwamba kila muislamu ana wajibu wa kuijua Qur an na tafisiri yake ni raha sana
2026-08-04 06:17:05
2
Sam decoration :
dah Leo nimefurah kukuona mdogo wangu hamidi pemba inatoa vipaji sana
2026-08-04 06:11:07
1
It's Mwarabu :
Allah akulinde na akuongoze ktk njia ilikua sawasawa
2026-08-04 06:24:33
1
jasminabasi :
Taqbiiiir
2026-08-04 05:14:48
1
user6129727608116 :
mashaallah mashaallah🥰🥰🥰🥰🥰🥰🥰🥰🥰🥰🥰🥰
2026-08-04 04:22:47
1
bin shaur :
mashallah kiongoz mzuri
2026-08-03 19:21:33
1
user5459538132137 :
mashaallah
2026-08-04 09:07:56
0
UmmuIlham :
Maashallah
2026-08-04 08:40:16
0
abubakariissa515 :
mashaallah
2026-08-04 09:04:24
0
rahmasenga :
Masha Allah
2026-08-04 08:52:28
0
To see more videos from user @bakwata_temeke, please go to the Tikwm
homepage.