@officalryan: Blonde colour50k Itategemea na nywele na wingi wa nywele zako bei inaweza kupungua au kuongezeka Tupo wazi kila siku Tunapatikana mwananymala manjunju Tunakufuata popote ulipo Tukikufuata nyumbani gharama inaongezeka Free🛜 Bolt⚡️Ryan beauty salon #blondecolor