@bundalah.dec.e.o: Au nirudi shule 🤣🤣😅@wasingwa #all #followers #school #schoollife

Bundalah De C.Ê.O ♍
Bundalah De C.Ê.O ♍
Open In TikTok:
Region: TZ
Monday 03 August 2026 17:44:35 GMT
15520
827
64
94

Music

Download

Comments

juliy.de.bosslady
Juliy de bosslady :
nashauri Mathematics if undisturbed online tyuu make tukikaa darasani tunalewaga ujii
2026-08-09 09:16:17
5
ashurakaywanga91
GLORY :
umeeleweka vizuri
2026-08-03 17:53:00
1
mama.tiktok8918
hope :
mbona mepesi nilikuwa nashida gani
2026-08-16 19:18:55
1
chest.mode
chest mode :
kwanini utoe badala ya kujumlisha yaan 90-360
2026-08-12 07:11:38
0
pradd03
Pradd :
kumbe hesabu ni rahisi
2026-08-22 09:59:29
1
kansian.ignas
Kansian Ignas :
kaka nashkr xan mtt wang la saba Nd anafaul. yot kupitia wew
2026-08-04 06:21:50
1
user57739725374958
KATERINA@OG 026 :
ni mtihani wangu lakini shwali hili sku liona 😂
2026-08-05 17:21:47
1
mr.deemafix
💯𝑀𝑟.𝐷𝑒𝑒 𝑀𝑎𝑓𝑖𝑥 𝑇𝑧 :
mbn saiv naelewa zaid tofaut na nlivokuwa shule aty😁😁😁
2026-08-23 20:28:56
0
muhinga74
muhinga :
Naomba unifundishie wanangu
2026-08-23 03:59:35
1
mazour14
Mazour14 :
katika Maswali cjawai kuelewa ni haya ila leo nimeelewa
2026-08-12 07:43:05
1
ukktywem0
ukkty wema🦋🦋♊️ :
nikumbushe sequence na series
2026-08-14 11:04:10
0
joy39460
Joy :
jaman hesabu sio ngumu sijui ht ilikuaje
2026-08-14 19:04:05
0
joe.zebarna
Joe Zebarna :
ila nachoka na mambo aya
2026-08-26 08:37:39
0
kamati.ya.roho.mba
kamati ya roho mbaya :
ningepata mwalimu kama huyu enzi hizo ningeipenda hesabu na kufaulu😂😂😂
2026-08-24 11:25:32
0
khadijacosmas
khadijacosmas :
uko vizuri baba
2026-08-25 12:34:54
0
seifmohammed402
seifmohammed402 :
Safi kaka
2026-08-26 10:33:10
0
sporahk26
SporahK :
ubarikiwee👏👏
2026-08-25 08:04:51
0
abilitydjunior
D.junior :
Jamani haya maswali nilikuaga nayanyoosha duh 😅
2026-08-17 18:35:28
0
gtown740
g~town :
mwaka wangu huwo
2026-08-17 08:10:09
0
jamesmahimbo
@ M a h i m b o T h e B o y ✝️ :
asa mbona imekuwa rahisi baada ya kumaliza shule🥺😂
2026-08-16 08:10:05
0
user954024020457
user954024020457 :
nadhani wakati ule nilipigwa zongo na kijiji ndo maana sikuwa naelewa
2026-08-15 17:37:17
2
queen_ofkompa
Anita :
Mwalimu tufanyie necta 2012 maana tulidata😁😂
2026-08-15 12:01:12
0
hans.upvc.homes.d
GCBG WINDOWS &DOORS :
😂😂😂😂😂😂😂😂🙏Yan sahv ndo kabsa sielew chochte
2026-08-23 15:49:40
0
user1044191396109
bitee :
hakika hata Mimi mwalimu wangu alinifundisha kama ww
2026-08-15 05:40:42
0
_baba1407
_baba1407 :
daah
2026-08-03 18:04:53
0
To see more videos from user @bundalah.dec.e.o, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About