he is not judging,,,,he is giving you message and reminding you the message of God
2026-08-04 11:18:41
7
Liliane Kapitula :
Ubarikiwe mtumichi wa Mungu .asante sana.kwangu binafsi naku chukuru😭😭😭🎺🎺🎺🎺bwana Yesu ana rudi karibuni ...Mwenyezi Mungu atu saidiye sana😭🤲
2026-08-04 06:25:19
17
user29266254854145 :
watakao chukia hao ndo mawakala washetan nimeipenda san ksk yangu❤️❤️
2026-08-04 07:16:40
6
Ms 💗 Faustine :
kiufpi tu Mungu atusamehe kiukweli
2026-08-04 21:47:35
5
Yasmin Saidi :
nikweli.kabsa.mtumishi.wa.mungu
2026-08-03 18:10:50
8
kitukuu cha Matoti :
rudia sana masomo ya mavazi mtumishi nimekupenda sana na ubarikiwe sana
2026-08-04 13:16:12
7
Janipher_Mshaki :
tumejisahau sana mtumishi
2026-08-04 04:52:14
3
marycosmetics :
Na mind you mzazi unaweza sababisha mtoto akahukumiwa kupitia ww mwenyew maandiko yameandika wazi wakubwa na wadogo watasimama mbele ya kiti cha hukumu. Je hao wadgo wanatokea wapi?. Ni bora kutokujifanya tunahekima katika kila kitu. Tuangalie neno linavyosema tusifanye mambo et kwa sababu tupo kwenye neema.
2026-08-06 07:41:57
1
Annie 🥰 :
Asante sana mtumishi ubarikiwe sana 🙏
2026-08-04 09:50:21
5
amplifier pcb circuits :
ni kweli waambie binadamu wajuaji sana hawataki kuambiwa ukweli
2026-08-04 01:55:15
6
prisca :
kweli mtumishi twambie wazaz ili tupone au mnasemaje wazazi
2026-08-05 05:51:50
2
Yoshua Yoshua :
ni Somo Zur San ubarimiwe mtumish
2026-08-04 06:39:04
5
srilaah :
yaan nasoma bibilia yaan sahv kila nachofanya naona ni dhambi dahi Mungu aniongoze.
2026-08-04 05:22:07
5
0768686798 :
kabisa pasteur
2026-08-04 04:42:48
2
suzana :
Amina
2026-08-04 22:18:53
0
Bushie :
Hapana ✋🏽kumvalisha mtoto vibaya au kwa mavazi yasiyo ya heshima hakumfanyi mzazi apoteze wokovu au aende jehanamu.Wokovu hautegemei mavazi, bali imani katika Yesu Kristo (Waefeso 2:8–9). We jamaa kinachoamua hatimayako ya milele ni “ Uhusiano wako na Yesu Kristo”. Kwanza Mungu anaangalia” Moyo sio sura ya njee” ya pili Yeremia 18:1-6, haizungumzii kuhusu “ Mavazi”. Ni kweli mzazi ana influence kwa mtoto, lakini Yeremia 18 haimfanyi mzazi kuwa mfinyanzi kama Mungu. Huo mfano ni wa mamlaka ya Mungu juu ya wanadamu, si wa wazazi juu ya watoto. Biblia pia inaonyesha kila mtu ana uwajibikaji wake mbele za Mungu (Ezekieli 18:20). Kwa hiyo huwezi kusema mzazi ataenda jehanamu kwa sababu ya mavazi ya mtoto,hiyo si exegesis ya maandiko.
2026-08-04 08:11:06
2
Jay_jay seaman :
AMEN 🙏
2026-08-04 09:15:10
1
johnmashuda :
nikweli
kabis
2026-08-04 06:15:50
1
nesi wa kitaa 🤴🤴🤴 :
mi bora aje ayafanye mwenyewe
2026-08-04 05:49:58
2
Liliane Kapitula :
Amen🙏
2026-08-04 06:31:51
2
Dominic Kibagendi :
nimesikia,, nina masikio maonyo kutoka kwa mtumishi wa Mungu
2026-08-04 13:06:28
2
Mfariji Consolant :
asante sana🙏🙏🙏🙏🙏
2026-08-04 12:38:40
2
To see more videos from user @allanwalestz, please go to the Tikwm
homepage.