@massoudkhaifan: Mapenzi yenye baraka huanza kwa kumtegemea Allah kabla ya kuitegemea hisia za moyo. Wakati mwingine tunatamani jambo kwa nguvu zote, lakini Mola wetu anajua mwisho wake kuliko sisi. Hivyo, uzuri wa upendo wa kweli si kushikilia kile tunachokitaka kwa lazima, bali ni kuamini kwamba Allah atachagua kilicho bora zaidi. Na ikiwa kheri ipo katika kile tunachokiombea, basi Atakikamilisha kwa njia ya halali; na ikiwa haipo, Atatujaza moyo kwa subira, ridhaa na amani ambayo hakuna mwingine anayeweza kuitoa. 🤍🌿 #mahdankhaifan #foryou #fyp #viral