@kamndumi: #tiktoktanzania🇹🇿🇹🇿 #flypシ #tiktikkenya🇰🇪 #videoviral

kamndumi
kamndumi
Open In TikTok:
Region: TZ
Monday 03 August 2026 18:15:54 GMT
1970
145
39
21

Music

Download

Comments

mchafuogh17
mchafu TZ$$ :
naomba kujua ko deleva hawakumshika kweli
2026-08-04 19:42:40
0
umugunga5
umugunga🇺🇬♥️ :
kama ni south ameuwa wachache jama hao niwabaya sana moto wakuotea mbali kbx ongera zake wasababu nayeye kwanza wakimkamata watamuuwa✌️🙏
2026-08-03 23:16:12
1
hysura.hysura
Hysura Hysura🇹🇿🇹🇯🇺🇸 :
mungu wangu mungu wangu nimeona mauwaji niwapi hii uwiii tumbo laniuma la uzazi mungu tulindie watto wetu 😭
2026-08-04 15:05:23
0
sifa39355
sifa💞 :
kwanin nimeona hii usiku lakini
2026-08-03 20:30:22
0
winfridahaule0
msz D :
nachanganyikiwa mjukuu wangu🤷‍♀️🤷‍♀️
2026-08-04 08:19:02
0
empressagripina
Agripina Xerxes🇬🇧🇹🇿 :
Wapi hapo? 😭😭😭
2026-08-03 18:42:15
1
user4666032639577
the lost woman :
yesu nakuoma nikuzie vyema kizazi changu watot wangu
2026-08-04 20:17:42
0
255mamyj
255Mamyj :
bwanaaa yesuiu
2026-08-03 21:34:33
0
msomalibeutycollection
meenah msomali 🦋 :
Subhanallah🙌💔
2026-08-03 18:49:51
0
emmymichael676
Emmy :
sikutakiwa kuona hii usiku huu🫣
2026-08-03 19:59:39
0
clarawigsmbeya
CLARA BEAUTY WIGS MBEYA❤️ :
Mungu wangu nimeogopa sanaa utu uo wap hata huruma pia🥹🥹🥹
2026-08-03 18:21:19
1
user6676151112854
MALIKALE MUSIC ✅ :
MASHOGA WA UWAWEEE WA UWAWEEE WA UWAWEEE WA UWAWEEE WA UWAWEEE WA UWAWEEE
2026-08-04 05:22:58
1
emmy.mwakilinga
Emmy mwakilinga :
mmmh jaman nn hii
2026-08-03 20:46:16
0
officialwinnie01
✨☑️ :
jamni
2026-08-03 18:50:59
0
user1890166027716
yusra katanga :
Allah Akbar lkn huyo nae Kama kajitakia sjui n siku imefika
2026-08-03 18:58:15
0
delphnus
Jackie :
hii ni kusudi au ni baati mbaya jamani
2026-08-04 17:48:40
0
jumamas2
user3282862668239 :
kaka imetisha ila kulingana Namaelezo yako makosa ni yamarehemu Ali kuwa mbish
2026-08-04 04:06:01
1
donatha141
Donatha 🥰🇷🇼🇹🇿 :
wangesimama wote akawaonyesha alifikili ni baskeli ukisikia dereva wa loli ni kma mwanajeshi na silaha
2026-08-03 20:55:13
0
madamjenipher28
Roadmakers Products :
Kama hujawahi kuwa na ndugu yako dereva na akafanyiwa vitendo vya ukatili nchi hio utaona huruma ila kama mliishia kuletewa miguu mzike mtaelewa🥺🥺😌
2026-08-04 09:46:15
0
fetty6084
Fetty🦋 :
😳😳
2026-08-03 19:52:32
0
tinut843
tinut :
😳😳😳
2026-08-03 20:02:36
0
empressagripina
Agripina Xerxes🇬🇧🇹🇿 :
😭😭😭😭
2026-08-03 18:41:58
0
To see more videos from user @kamndumi, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About