@nasseraltaie.media: — Wakazi wa Zanzibar wanakabiliwa na changamoto kubwa ya uhaba wa sukari, ambapo kiasi kidogo kinachopatikana kinauzwa kwa kificho kwa hadi Sh5,000 kwa kilo moja. Hali hii inajiri huku kukiwa na madai kuwa baadhi ya wafanyabiashara wanaficha bidhaa hiyo wakisubiri kupanda kwa bei, wakidai kuwa bei elekezi iliyowekwa na Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar (SMZ) haihimili gharama za usafirishaji. Kwa mujibu wa bei elekezi ya SMZ kupitia Wizara ya Biashara na Maendeleo ya Viwanda: Mfuko wa Kilo 50: Sh110,000 Kilo 1: Sh2,500 – Sh3,000 Mmoja wa wakazi wa Magomeni, Fauzia Ali, ameeleza namna alivyohangaika kutafuta sukari kwenye maduka kadhaa kabla ya kuipata kwa Sh5,000 kwa kilo na kuwekewa ukomo wa kununua usiozidi kilo mbili tu. #Zanzibar #Unguja #Sukari #Tanzania #Habari

Nasser Altaie Media
Nasser Altaie Media
Open In TikTok:
Region: TZ
Monday 03 August 2026 18:32:00 GMT
15791
216
72
54

Music

Download

Comments

abdulwahidyussuph
mshua :
Kile kiwanda Cha mahonda hakina faida yoyote
2026-08-04 03:32:23
7
bayser_83.com
Bayser :
Zanzibar sipana kiwanda cha sukari pale mahonda inaenda wapi?
2026-08-04 11:47:14
4
user2544106294713
mohammed :
alhamdulilla mie sio mpenzi kabisa wasukari kwangu haina Faida wa mie sio mpemzi wa Chai ya sugar 😁 Boro iuzwe 10000 au 15,000
2026-08-03 20:32:23
3
user618849458682
user618849458682 :
wanawauzia vichogo hatutaki
2026-08-04 16:33:09
0
rayshkeykeyraa
rayshkeykeyraa :
hiz ikuwa ni njama za kuigharim znz ili sukar iwe Sawa na Bara
2026-08-04 04:28:31
2
user44694080743112
user44694080743112 :
sio kweli had jana sukar kilo elfu 10
2026-08-04 03:56:22
1
mh.mdee5
MH Mdee :
miwa inalimwa zanzibar mahonda miwani ila leo kilo ya sukari zanzibar Alfu 5,000 kweli hii ni sawa na kitu kinacho hitajika kisi adimike zanzibar ni sukari Dah haya maisha tutaishi mpka lini 🥺😢
2026-08-03 22:41:49
1
mohammedreyda4
Mohammedreyda :
Viongozi tunawaomba mlidhibiti hili
2026-08-04 16:02:01
0
7196muna
nameless🇧🇳🇹🇿 :
Sijui napikia nini hiyo sukari niseme tu ukweli 🤣🤣🤣🤣🤣 hata chai sipendi
2026-08-04 09:05:43
2
mrfixer00
Mr Fix305 :
Sukari yenyewe kwanza ina madhara, ⛹️⛹️⛹️
2026-08-04 10:52:50
2
.luqman03
لقمان الحكيم857 :
Kwani si walienda bungeni dodoma wakitetea sukari iuzwe bara kumbe ilikua haitutosh 🤔🤔🤔
2026-08-04 12:15:15
0
heldar23crf
Heldar23crf :
Kama hamjui matumizi ya sukari ngojeni ifike EID AL-FiTR
2026-08-04 17:03:11
0
user5533788862099
abdillahi muhammadi :
hatujamaliziwa kutengenezwa Barbara tulieni
2026-08-04 10:15:42
1
hakwashirazy
Hakwa Southern Shirazy, Naqat :
Sukari sio chakula wacha ipotee kabisa
2026-08-04 02:26:50
2
suleishhijja
suleishmumcos :
mmhh hata ikafika kilo elf 50000 itakua vzr t
2026-08-03 20:36:12
2
user31682060159477
kuchi :
tusiwe wakimya tupaze sauti
2026-08-04 16:17:09
0
itx.me20111
Never give up :
sukari tushatoa musiwe na wasiwasi
2026-08-04 16:49:13
0
issasuleima4
issasuleima4 :
skari mana isafirisha
2026-08-03 20:50:00
0
abdalla9237
abdalla :
tatizo maduka yanayo uza sukari bei ju yanajulikana kwa sababu yapo katika jamii yetu humu mitaani na serekali ipo pote humu wameweka mashekha madiwani na mafoma mbali mbali mitaani mwetu kaziyao ni nini hawalioni hili la wafanya biasha kutumia mwanya wa kuadikaka sukari wao kupata nafasi ya kuwakomoa wanaichi kwa kuweka bei kubwa zanziba hali ya kiuchumi sio nzuri wanazidi kuwapa wanaichi ugumu wa maisha taasisi za kiserekali mnajukumu kubwa kuhakikisha bei ya sukari ipo kwa bei ileile elekezi kuwakamata wote wanao zidisha bei wasilete kisingizio ati gunia kanunua bei juu na wewe usinunue kama gunia bei juu serekali au taasisi msisubiri ati mwanachi mmoja mmoja akuleteeni mashtaka serekali mnawatu wenu mitaani hao nilio wataja hapo juu wanakazi gani au siasa tu kama nime kosea ninaoba radhi SHOKRAN
2026-08-04 06:25:34
0
shedrack4682
SHEDRACK :
asubuh kilo 50 ya sukar tumenunua 190000 je tuuze kwa bei gan sasa
2026-08-04 10:58:01
0
hmn6812
HMN :
Mbona uku kwetu ni elfu nne tu ata km unataka kilo mia moja njoo
2026-08-04 13:25:29
0
saada4096
saada ❤️ :
mitano tena hayo sote tunayapata sio ya mmoja Huwa tunasahau kama tukilianzisha linatupata sote acheni tujenge nchi kwanza kula baadae tutie chunvi sukari sio shida yetu
2026-08-04 20:08:06
0
rasheedjumma
🤍🕋رشيد جمعة☪️ :
uko sahih robo
2026-08-04 12:54:00
0
maimuna.vuai
maimuna Vuai :
musijali tutajitahidi kupanda miwa kwa mwingi
2026-08-04 17:00:41
0
whosamkhamis
Whosam Khamis :
Uongo
2026-08-04 03:41:46
0
To see more videos from user @nasseraltaie.media, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About