@kisiwachamichano: NISIYOYAJUA MAN YA WATU NIMEACHA KUBONGA SIO MAUAJI NIKISEMA NIMEACHA KUNYONGA NA FOKASI NA MICHONGO NIMEACHA KUHONGA UKIACHA WIFE NA WANANGU HOME NIMEACHA WAJOMBA🙌🙌🙌 Ni ukatili na balaa la vichwa hatari katika ubora wao na vesi za kutisha ni shida ingine wakiongozwa na vichwa hatari vya #wafyonso VICHWA VYA JUKWAA KUBWA LA HIPHOP TANZANIA @kinasawazi_mbeya ZINGATIA MICHANO HUWA WANASIMAMIA UKUCHA WAKICHUMA EMBE KWENYE TAWI 🔥🔥KANYAGA TWENDE @msaplyzo @shamlago_mc @un_name255 @southwest_neep @wafyonso_dojo kitaanasanaa

kisiwachamichano
kisiwachamichano
Open In TikTok:
Region: TZ
Monday 03 August 2026 18:38:07 GMT
25489
2324
185
87

Music

Download

Comments

shobi_mzawa
S H O B I :
Ushauri, mkishashoot kwenye kuedit muwe mnaandika majina ya wana wanapochana. mfano jamaa wa pili nimetamani kumjua ili nimfuatilie but simjui jina.
2026-08-04 07:02:02
19
boma36354
BOMA :
ukiacha wife na wanangu home nimeacha wajomba🙌
2026-08-05 16:32:36
10
remmyeugy
remmy_ tailor🪡 :
ukinikuta eneo la kazi ni Kama nimeacha kuoga😂🔥🔥
2026-08-04 19:47:51
11
dyck_91
Dyck91 :
wapili ni wamoto sana
2026-08-04 07:41:45
11
user99alkan
alkani :
rapa wa pili anazingatia sn misingi ni motoooo
2026-08-06 06:27:36
7
nembua_tz
Nembua_tz :
niagize nipige chorus karee
2026-08-05 03:46:19
0
dalali_mweusi_kigamboni
DALALI_KIGAMBONI_MWEUSI1✅ :
wengne wanapagawa na floor,ila wote wakali no way💯
2026-08-05 06:21:21
8
kaka_baraka
Kaka Baraka :
mimi ndo yule kule mwisho ni vinawaka viberiti mimoshi kama nipo kilimanjaro
2026-08-04 16:05:04
2
mdavatz
Mđãvã Ťż🇹🇿 :
Km unasema wa pili Tujuane
2026-08-04 07:51:13
4
karzay001
Abu Darwesh :
jamaa wa pili tunaomba jina lake
2026-08-05 07:23:01
3
mrbbarbershop
Mr B barbershop :
oya wanangu mko wapi mmenifurahisha sana hiphop in my life
2026-08-07 22:32:24
3
august_pm
August PM :
Mkopoa sana wazee tufanye moja wote wakuu
2026-08-07 19:11:51
2
dengeboy149
DODOMA FINEST 🇹🇿🇲🇦 🇸🇦 :
Bila shaka ni mbeya hii naona kabisa kuna ladha za izzo business
2026-08-04 07:47:57
5
rich.rhymes7
Rich Rhymes :
Nishacopy link wanangu
2026-08-06 07:28:13
1
user90062695838273
888888888888888888888888888888 :
wapili kuwa kinoma
2026-08-05 18:11:36
2
madini.254
Madini Waza official 254 :
Noma sana verse ya kwanza na pili🥰
2026-08-06 02:21:32
5
tallstar.boy
tallstar boy :
wakwanza ndio rapa mzuri wengne amna kitu
2026-08-04 06:13:06
1
op.ally.nasso
Op ally nasso :
oyooooooooh wakali kwanzaaa
2026-08-04 18:19:49
2
eristrojr
Mr Champion 🏆 :
Tunaomkubali mchanaji wa pili gonga like nyingi hapa
2026-08-07 09:55:19
2
user6327747047418
Black boy :
Wanangu cha kwanza ni bit ,🔥🔥🔥 alafu wote mnakitu sana ,ila huyo mwana wa pili hafai kabisa👏👏👏 kuna huyo jamaa mwingine wa 3 namna anavyotembea na biting yupo safi kinoma ila hajiamini na sauti yake inamezwa na bit ila anaweza ,Afu uyo rastaman nae kuna kitu ndani yake apandishe sauti kidogo na flow yake kidogo all in all🔥🔥🔥🔥🔥
2026-08-05 05:30:58
3
wambagala.code
Wambagala Code :
Hip Hop real Og sio Coppy🔥
2026-08-04 08:22:50
2
motownsanya
Motown Sanya :
Wako wap
2026-08-04 07:59:32
1
alhabib_mshamu
Mshamu :
Ukinikuta eneo la kazi ni kama nimeacha kuoga 🔥🔥 jamaa wa pili ni noma jina lake please
2026-08-06 07:53:31
3
jitu.la.mtumba97
jr Parking and Car wash :
mbeya family
2026-08-04 03:26:25
2
user5469275829449
Joseph :
walai Atari Sana uyu jamaa wa pili ila wote bigup Sana.
2026-08-04 19:36:46
2
To see more videos from user @kisiwachamichano, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About