hakuna mwanamke wa daimond aliyepata bahati kama zuchu🥰🥰🥰
2026-08-03 19:11:02
849
Shariyuana💥💞 :
our jonasi has been very busy 😂😂apewe kiti jamani
2026-08-03 19:53:50
50
Linnah Blazi💎💉 :
Nilivokuwa namsubir paula sas😂
2026-08-03 19:03:03
696
aneth :
paula na zuchu wanaonekana wanapendana🥰🥰🥰
2026-08-03 19:01:58
479
sabri mom🍎 :
jaman mondi akae kidogo
2026-08-03 19:00:35
238
cathy :
me nimempenda paula na minyoosho yake
2026-08-03 19:24:29
147
lucky bash :
who's seeing iphone 17 on the table and money money 😳😂
2026-08-03 20:43:40
2
Joyce🦋 :
love the way Paula is very much natural ❤️
2026-08-03 19:37:07
39
Ms Rohami🧸 :
That why I love you paula🥰
2026-08-03 20:06:33
2
Viv iane 🤩🤩🇰🇪🇸🇦 :
daah kama paula na zuchu wanapendana kibinafsi😳
2026-08-03 19:08:26
18
Miss ilham💎✅ :
Diamond kaz yake kubadilisha nguo na kurud hospital kupokea zawad had raha jmn
2026-08-03 20:39:20
6
maria :
she is still prettier even after giving birth 😊😍
2026-08-03 18:55:25
74
💔💔💔 :
Welcome to motherhood 🥰
2026-08-03 20:02:07
1
Ugandan ghurl :
Paula ako na roho safi 💖💖💖💖💖
2026-08-03 19:32:10
8
Ayat🪽🦋🦋🦑 :
Guys pliz try to comment in English so that we enjoy quickly we miss yo comments😭😭😭😭😭😭
2026-08-03 19:20:48
2
anu :
me nampenda paula jamanii
2026-08-03 19:05:22
14
cecily :
hongera
2026-08-03 19:08:37
0
THE LEGEND🌀 :
amna kitu kibaya kama kifo jamani dida uko alipo hajui kama wema kajaliwa mtoto hajui kama zuchu ndie mke halali wa ndoa na mtoto kashapata jaman kifo wewe apana alale pema peponi didaa jmn 😞😞
2026-08-03 19:18:46
58
Juliana Kusigwa :
zawadi zingine zitawekwa wapi sasa MI NASHINDWA KWELEWA NA CHUNGU SANA.
2026-08-03 19:23:47
7
Yvette Mwenge de 💍J :
Ila watanzania muna upendo kweli haki Mubarikiwee🙏🙏💖💖🇨🇩
2026-08-03 19:37:43
6
bibiee085 🤭 :
ayo mauwa nayaomba nikafungue biashara miezi ya gaduu za shule zinakaribia 😂😂😂
2026-08-03 19:23:29
17
🎀🌸Officially Rey Stories🌸🎀 :
me najiuliza mtoto mdgo Iphone zanini
2026-08-03 18:55:43
133
hamisaswahibu :
ewe mwenyezi mungu nakuomba uilinde hii family isitengane ♥️🙏🙏🙏🙏
2026-08-03 19:20:45
15
shadics :
who has seen the iphones
2026-08-03 19:20:22
9
To see more videos from user @zuchu_chuchu, please go to the Tikwm
homepage.