bahati yako nimeskiza mpaka mwisho kumbe familia kabisa 😂😂😂
2026-08-06 11:25:20
154
TUNDAMAN JR TRUCK DRIVER TZ :
ndugu yangu kweli mm nilifata nyekundu nikaondoka na nyeupe nafika nyumbani nikarudi kufata nyekundu siku ya pili ilibidi nokope pesa nipate ya blue shida tu 😅😅
2026-08-04 11:43:49
155
saidnakulu :
kumbe kuna timu inakombati za jeshi na hamsem
2026-08-04 13:30:43
194
mwanaaisha :
😂😂😂😂😂 jamani alivyo anza kuongea nikajua hajapenda kumbe kazidiwa na uzuri wa jezi uwiiiiiii
2026-08-04 07:14:10
131
Wendo_18 :
hili jambo la kusoma comments bila kumaliza video hii tabia ilianza lini
2026-08-04 07:50:34
41
Ally Omary :
wale wavivu wakumaliza kusikiliza hapa wameshatoa majibu tofauti 😂
2026-08-05 05:16:21
55
Haithamu🥰 :
ulivyoanzaa nilikuwa nishakuandaria jibu lako ila baada yakuenderea hadi mwisho nikajua kumbe family yangu 🥰🥰🥰🥰
2026-08-06 15:10:39
26
🌸🌸 Tanga girl 18 :
tukimchekea tuta kua mitaji yetu yote tuna nunua jezi tu🤣🤣
2026-08-04 06:03:33
46
it's_bulyo🖤🤟🏾 :
kuna wenzetu sasa upande wa pili😂😂😂😂
2026-08-06 23:51:54
7
DJ RAMSEY TZ :
raha zimezidi au sio
2026-08-04 08:38:46
15
efr kapy :
Bwana Yesu anakupenda wewe msomaji coment, fungua moyo wako mkaribishe sasa abadirishe maisha yako . wakati ni sasa kabla hujachelewa
2026-08-04 13:24:34
13
MY HAPPY0627 :
yanga na daftari zao za msomi
2026-08-08 15:57:13
6
bonnke kak :
Bro nilitaka kuku mind🤣🤣🤣 umetisha familia👌
2026-08-04 14:54:58
12
joeboy0880 :
umepona kidogo tu nisimaliz video nianze kwanz yangu ya mitusi
2026-08-04 13:54:29
6
Naomi Uwezo :
chizi kweliww 🥰🥰🥰🥰
2026-08-05 05:30:56
7
TOTOH🏐🌹 :
mtu hujui uchukuwe ipi eeh
2026-08-04 10:34:05
6
jagwa man :
ila wew nlikuandalia kitu kumbee familia 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
2026-08-05 20:40:57
8
Brilly Jr :
mimi naongea tu ukweli wa mungu juzi nimevaa hii jezi nikaendanayokanisani kwajinsi ilivyokali😂😂😂🥰🥰🥰
2026-08-05 05:35:38
8
Abdul :
Mimi mwenyewe nimejikuta nimetumia hela ya mchango wa msiba kununua jezi zote tatu😂😂😂
2026-08-04 12:55:15
5
Disminder Gal :
Tujitahidi kumaliza video hii tusikurupuke😂😂😂😂
2026-08-05 10:33:22
10
HIT and RUN 👌 :
mme wangu alisema kaipenda nyekundu na blue 💙 baada ya kufika dukan hajachukua kasema ngj akaongeze pesa anunue zote😁😁😁
2026-08-06 08:54:58
5
usermachete22 :
baba umetisha kumbe familia
2026-08-09 21:49:26
1
Hamolinho :
aliopenda Uzi wa Simba kama mim gonga like apo
2026-08-10 12:00:17
1
Anitha :
jezi nzur mpaka Raha sana
2026-08-05 14:16:15
1
To see more videos from user @elias.ndosi, please go to the Tikwm
homepage.