hamna mtu anafraia mwenzie kuondoka ila Directer kumtoa asie kafanya jambo zuri kuliko kurudian n Jamal maan muhanga wa yote alikua maheer na alikuw hana makosa anateseka kwa wema wake mwenyew 🥺
2026-08-04 13:37:00
16
Sapna❤️ :
Mungu njalie mwanaume Kama Maher mm🥰😟🙏😁
2026-08-04 19:18:09
15
Patricia 😍cleopatra :
kinergis kimesababisha
2026-08-06 01:07:18
1
ney blessed :
mi kanikwanz mpak tv yang nikawa naitizama kwa jicho bay
2026-08-04 06:31:45
17
bby 💋 lips :
mim nimefurahi sana maaana asiya alinikera limwanaume lake limemtoroka limekaamiaka7 tena lilikimbia majukumu alaf analisamehe angetakiwa aliache awe ma mahir anaejuwa upendo na thaman
2026-08-04 12:19:05
10
user7265009389357 :
ah msiba sio kwa Asiye msiba ni kwa mahir jamaan 😭😭😭😭
2026-08-05 14:23:33
3
🌹zar :
kua makini na watu wanaotaka kurudi kwenye maisha yako nimejifunza humu 🙌
2026-08-04 12:39:18
3
latifah :
duuh nipate mwanaume kama maher 🥰🙏
2026-08-05 06:56:45
0
Mrs Hamy :
masingle mathor mjifunzee apo kitu ukiachwa usilud nyuma songa mbele na maisha yako
2026-08-06 08:14:51
1
️ :
Maskni mahir wetu 🥺😭
2026-08-03 21:29:34
4
ednah :
Watanzania wa azam 2 tumefrah 😁
2026-08-04 11:24:10
2
Bi JKM :
Alichomfanyia Mahir jamani sijapenda, Bora amekufa wamekosa wote, ila Mahir kaumia sana kwenye hii muvi
2026-08-04 11:40:24
3
user1072161849198 :
nimefrahi sanaa😁😁😁
2026-08-04 04:00:36
2
Kawaa :
Nilidhani mahir atamuoa Asie
2026-08-04 05:33:44
1
Saada hamad :
hili ni somo,mkiacha na usirudi,move on banaa
2026-08-04 12:27:09
1
Nuru Hamiss :
maskin asye wangu ntamtetea nani tena mimi
2026-08-05 09:25:09
0
Kimdo Liymo :
huruma kwa mahili tu jamani
2026-08-05 08:58:14
0
mrs juma :
alidhidi unamludiaje mtu amabae alikuacha siku ambayo unamuitaji jaman tujifuze kitu apo
2026-08-06 11:48:41
0
jafejane 🦋 :
me nimefurahi sanaaa
2026-08-05 16:23:46
0
khaduji :
Nergis ndio sababu
2026-08-06 04:20:08
0
rasviwanja :
tuwe makini na watu wanaopenda KURUDI kwa mara nyingine
2026-08-05 18:55:47
0
binti sayuni 😘♥️🙏🧎 :
😅😅😅sf
2026-08-04 05:10:04
0
To see more videos from user @its__lily156, please go to the Tikwm
homepage.