@2voiced:

2VOICE ๐Ÿ˜…
2VOICE ๐Ÿ˜…
Open In TikTok:
Region: TZ
Monday 03 August 2026 19:20:30 GMT
136964
5526
453
515

Music

Download

Comments

wiznovibrand
Wiznovi brand.@๐ŸŽถ๐Ÿช• :
mama kashajiamulia mamb tyr
2026-08-04 11:51:17
3
kileo76
๐Ÿ’‹๐Ÿ’‹โฃ๏ธ :
Kwa sasaivi mchungaji atakuwa wap. nna shida nae
2026-08-04 10:18:23
73
mkolonjinjicomedian
Mkolonjinji comedian :
Ndo itakuwa kesi yangu ya kwanza kumuibia mchungaji
2026-08-04 05:29:07
198
mr.kang.dynasty.8
dynasty brand mnls :
oya maza haupo serious
2026-08-04 17:48:04
0
.mrcashflw
mr_ cashflw๐ŸŽธ๐ŸŽธ๐ŸŽง :
nachoka mim
2026-08-04 18:20:28
0
user5781156275704
viva boy Jr1997 :
wewe namchungaji wako hamtaamini
2026-08-04 05:43:38
91
bern.tz
โŒš :
โŒ DON'T TRY AT HOME
2026-08-04 17:07:48
0
leticiamagongo
leticiamagongo :
bc sawa mama angu kipenz ukiwa na shida utamwambia mchungaji akupe nakupenda sanaโ˜บ๏ธโ˜บ๏ธ
2026-08-04 11:13:33
30
bigsonmichael5
DavidJr :
mpaka status
2026-08-04 13:21:32
1
linyota210
linyota Fresh Juice :
looooh
2026-08-04 16:47:25
0
chiku.mbowe
Chiku Mbowe :
Mungu akubariki sana mama,,na usiniombe tena hela umwambie mchungaji
2026-08-04 11:30:21
17
iamfinnesboe
whsfinnest :
SIJAWAI GOMBANA NA MZAZI ILA HAPA TUTAGOMBANA ๐Ÿ˜‚
2026-08-04 11:48:11
30
neema.masswe
evodia massawe :
niongeee kwa kukaaa au nisimame๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ
2026-08-04 11:18:05
24
zainabofficial422
Bertha :
comment section ongezeni ubunifu furahayangu nikusoma comment
2026-08-04 04:19:35
41
user3312930488600
sharon :
Bwana yesu asifiwe kanisa
2026-08-03 22:51:54
17
hamisa.hasani.kij
Hamisa hasani kijonjo :
๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚ mama e. naenda kunyoa vuzi la mchungaji live๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚
2026-08-04 09:06:13
18
stamphord2
Justin stamphord :
naifata pikipiki yang na mazoea sitaki ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ
2026-08-04 09:01:40
10
raphael.sanya
Raphael Sanya :
mama kuanzia leo mchungaji ndio kijana wako mm sio kijan wako tena๐Ÿคฃ
2026-08-04 09:55:10
9
user6044543482424
shebe msangi :
mama nakupenda ila staki mazoea
2026-08-04 09:24:45
8
whozu_12
whozu :
me ntamuuliza2 kwani huyo mchungaji anapatikana wp๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚
2026-08-04 05:16:43
18
amina.mdee18
minnah ๐Ÿ’–๐Ÿฆ‹ :
๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚ asanteni nilikuwa na stres baada ya kusoma comment nimesahau ๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚
2026-08-04 09:24:02
8
irenesantos21
Irene santos๐Ÿ˜๐Ÿค— :
mm sijaona kosa la mama kalipa fadhira kwa mchungaji wake๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚
2026-08-04 09:53:48
8
brayan_og3
Brayan :
bwana yesu apewe sifa aminaaaaaaa
2026-08-03 22:07:30
6
ahoua102
Debora godfrey :
nakumbuka bibi angu alinunua mchele na nyama akapeleke kanisani ety anaenda kuwapikia mafundi wa kanisa sisi tukala makande
2026-08-04 06:45:29
32
user8449678005529
ray :
wooooy sitaki hat kufikiria itakuaje ila amini kwamb mitandao yoote ya kijamii itaniongelea mm mwezi mzima
2026-08-04 06:55:07
13
To see more videos from user @2voiced, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About