alafu kuna mm niliachwa hosi mm mwenyewe nikajipeleka nyumbani mkinipata na mimba tena mniue2😭😭😭
2026-08-03 22:01:14
89
Tajo Hd Graphique :
jina la huu wimbo jameni🤔
2026-08-04 04:47:24
89
Marie🦋🤍 :
Paula kapendez na minyoosho🥰😊
2026-08-04 07:10:12
36
jerz boy :
sijui nitaenda lin kumsalimia zuchu 😆
2026-08-04 07:27:13
39
Which Country Is This..? :
Which country is this.
2026-08-05 04:44:53
3
Josephine :
nlitaka kuja but sikua na zawadi, nmeona kumbe naeza beba uji
2026-08-04 13:20:37
10
m𝐢s Lau♥️🤌 :
zuchu naomba kazi hata yakubwekea wageni
2026-08-04 17:21:19
6
Kuruthum Ally :
cjaelewa apo n hsptal au
2026-08-04 07:27:37
12
SIDE SIDE :
sijamuona kingwendu.ama ndio wakina sisi🤣🤣🤣🤣
2026-08-04 17:19:16
5
Mr Thinker :
sijamuona Zari na mama Dangote
2026-08-04 06:24:44
24
CINDY :
alafu Kuna sisi wengine tunazaanga na akina nani?
2026-08-04 07:45:10
3
God's Daughter :
eti hivi jux yupo wapi?
2026-08-04 16:55:19
6
imamu abbasi :
kweli wema akiba utakavyo ishi na watu ndvy watakavyo ish na wew
2026-08-04 17:32:11
3
abuutariq1 :
siku Juma lokole akijifungua nitampelekea zawadi zake😊😊😊
2026-08-04 12:50:07
6
K9 Tz :
daaa! tunaosema kabaki mm gonga like
2026-08-04 18:36:01
2
maaliya :
nikiend kumtembelea zuchu sijui nimpe zawad gn😂
2026-08-04 18:23:20
2
😉 :
zuchu ana watu bhana
2026-08-04 05:31:32
11
kakuh :
uyu mtoto ana nyota kali,,jina la pili mumuite lulu
2026-08-06 08:16:13
2
beni star musicTz :
Wangapi wanapenda waha ???🥰🥰🥰🥰🥰 maana hata ngoma hii kaipiga kiha kiha kama unabisha shauriyako
2026-08-04 19:21:16
2
Man h :
week ya mashindano😂😂😂😂😂😂
2026-08-04 08:42:31
3
aisha :
zuchu unapndwa sana na watu honger allah azid kukup nuru
2026-08-04 13:05:37
0
LACANE :
kuna Sisi apa wake wetu wakijifungua tunawapelekea Tu uji kwa thermos na ndizi tatuu 🤣🤣💔💔 mungu mbona Sisi pia hatupenyi tunakosea wapi 😭😭😭moneyyyyyyyyyyyyyyyyy🙏🙏
2026-08-04 10:28:05
2
khrezab :
Mimi pia naja Leo kuwaona jamani😅
2026-08-04 08:04:00
2
To see more videos from user @harmonize._.tz, please go to the Tikwm
homepage.