waallah hao ni babu zangu , Allah aware hmu wote akhera walipo, awape kauli thabit AMINI 🤲
2026-08-04 06:01:51
150
🇹🇿🧕🍂 :
halafu waki touch simu km wanaigopa ivi😂😁💔
2026-08-04 01:53:48
44
Hafidha🫧🌍 :
Wang kila sku anakuletea sm anasema umuwekeee sauti 😂😂😂😂
2026-08-04 15:10:26
27
user8153495348224 :
wanajua kutunza hao ndo mana ata mm natamn niolewe na mzee😂
2026-08-04 10:11:27
23
official Latwintz :
Babu umeenda mbali,,mm baba yangu😅😅
2026-08-03 21:23:23
10
zubeirzubeir291 :
Mimi Akipigi Cm mpaka Ringi Inakata Nikiipokea tu Anasema Anapiga MissCall 🤣🤣🤣
2026-08-08 10:07:14
5
Kh@dej@h🌸🧕✨️ :
umenikumbusha Marhum babu yangu wallah
2026-08-03 20:54:48
7
꧁🧿 محمد 🧿꧂🇦🇪 🇰🇪 :
umesahau kufuta vumbi screen😁
2026-08-04 06:56:00
15
shaymaa🧕 :
yaani yupo serious kama babu kweli 😆😆🤣
2026-08-05 17:36:13
10
ummu ruseina :
babu yangu atapigiwa yy lakini atakuita umsomee jina na umbofee,mazungumzo yakiwa mengi atauliza alopiga kma ni yy amepiga au amepigiwa kma ni yy akuite umkatie😅😅ndio umkumbushe kua amepigiwa sio yy alopiga😂😂😂
2026-08-04 16:44:42
8
PB • A K E E Y☠️ :
Miwani ya kusomea jina nn😁
2026-08-04 06:03:58
11
Darius Sarai :
hio miwani inafaa iwe kwa case yake alafu ndani ya case imetatiwa na kile kitambaa Cha kusafisha 😂😂😂😂😂
2026-08-04 10:11:17
8
haneen_alrouh🥰 :
Huyu ni bibi angu 😂😂 simu ipo chumbani yey ukumbini ata akishaisikia mpk aitoe avae miwani aah ishakatika 😂😅
2026-08-04 16:31:07
8
fidu collection :
nani mwenzangu
2026-08-07 13:53:30
2
nia de queen🥰🥰 :
😂😂😂 km ulikuwepo asaa
2026-08-04 11:49:54
1
Aliyu23 :
marehem baba🥹
2026-08-05 15:59:46
3
Mamake Najma & Abrar 💙 :
😂😂😂acha nimtumie
2026-08-04 08:52:21
1
swahilianprincessor :
nimecheka kwa sauti..🤣🤣
2026-08-04 09:17:11
1
Hawaa :
Hangaika mpaka ukimaliza sim imekataa😂😂😂
2026-08-04 18:45:48
0
agerah_glambeauty :
😂😂😂😂😂 Mungu awaeke
2026-08-04 11:31:06
2
Zainab kabonesa :
my mom still does this
2026-08-05 13:12:28
2
khola :
natmn kudownld nimtumie mtu
2026-08-04 14:27:08
1
𝙈𝙐𝙃𝙎𝙄𝙉🇰🇪🇹🇿📽️ :
😂😂😂
2026-08-04 12:31:33
1
baby pinky🌺 :
2026-08-04 03:31:13
1
To see more videos from user @pixsum_mobile, please go to the Tikwm
homepage.