Uzur anko ana anzag kuongea kwa hekima then ana ongeza volume sasa😂😂😂💔
2026-08-03 20:39:08
58
Rehema Skale :
umegrooooo
2026-08-03 21:24:28
0
zwaylee8632🥰🥰 :
wanasahau kama wew ulishughulika kwenye sherehe ya wema kam anko ollie🤣🤣🤣
2026-08-03 21:01:03
12
perfummwanza4 :
Mtanipigia simu wanangu😂😂
2026-08-03 20:01:18
10
Miss Desgner 💫💫 :
CHIKUUUUUU
2026-08-03 20:50:00
2
Zuuh meshack :
yaani ndio mana kakupenda umeongea vizur sana bebe😘
2026-08-03 21:01:13
8
Mahra555 :
Alianza vizur na taratibu tu😂😂
2026-08-03 21:02:11
7
@naahcollection :
leo umenikosha😘
2026-08-03 21:31:50
1
Fimar baiya :
Yaan hiii ndo Nzur uwiiiiiiiiii wape Yao maan wanashindwa kuelewa kila mtu na mwili wake af at wasemeje wema amezaa Mashallh Allah amrinde tu maan waja wana mambo mnooo hao 🥰
2026-08-03 20:43:11
6
Littlebelle✨ :
Mimi pia nilizaa bila kuvimba uso wala mwili na nilitoka natembea vizuri tu uzazi unatofautia jmn sio lazima uvimbe mwili😂😂 wamuache wema jmn🙌🏼
2026-08-03 21:33:54
1
𝐂𝐑𝐀𝐒𝐇 𝐒𝐀𝐋𝐈🧸 :
Chekoo la pause 😂
2026-08-03 20:47:44
4
Anna🤑 :
huyu anafaa kuwa kwaya master wa roman kupanda na kishuk kwa mawimbi ya sauti
2026-08-03 21:15:06
3
Hafsa Issa :
sema ww anko man kaa wamezidi sana kumzungumzia wema w watu roho😂😂😂😂
2026-08-03 21:12:36
3
jackieofficial003 :
😂😂😂😂😂Vibao Vya Uso tenaaaaa Ankoooo jmn
2026-08-03 20:46:48
3
shamsa :
tenaaa wape hao anko
2026-08-03 21:01:32
2
me 💜 :
wakili wa ollie🔥
2026-08-03 21:17:51
1
V KIDOTI 🫶 :
yaan daah kiukwel inaumiz San na inavunj San moyo, bas tu da wema kashazoeag MANENO ya watu, mm had Nawaz au walitak wapost da wema akijifungua ndo wangeliamin, kiukwel wanamaudh San wambie,
2026-08-03 21:18:25
2
Aggy💝 :
live lini😩
2026-08-03 20:01:40
2
To see more videos from user @official_ankot, please go to the Tikwm
homepage.