@official_fathrine: Baraka hutupa uwezo wa kutawala bila baraka kila kitu kitakutawala. Safari yoyote unayoanzisha hakikisha ina Baraka iwe ni biashara, uchumba au elimu hakikisha ina Baraka. Kwa KRISTO ni mwisho wa mateso, mipaka, na vizuizi tukiwa kwake hakuna kinachoweza kutuzuia tukimuamini na kumtegemea yeye tunayaweza mambo yote hakuna cha kutuzuia hata mazingira hayaweza kutuzuia. Kwa KRISTO yote yanawezekana🙏🏼#fyppppppppppppppppppppppp #christiantiktok #tanzaniantiktok🇹🇿 #viral #trending