Shule Ndio Inatakiwa Kua Hivi Sio Mambo Ya Panzi Anamiguu Mingapi
2026-08-04 09:20:34
107
Samla JR :
daaah one of the best and top 💡
2026-08-05 17:26:20
2
Zabro michael :
Kwanini mmetusubiria tuzeeke ndo mfungue hiyo shule ila sawa tu 😂😂😂
2026-08-04 17:45:55
22
chosen one :
mwenyewe hii shule au mmiliki wa hii shule awe waziri wa elimu
2026-08-04 15:40:34
14
15302020 :
tunaomba kujua hawa watoto wakimaliza primary sasa sekondary watavipata wapi hivo ili kuendeleza kipaji chake
2026-08-04 07:08:58
29
Muttashubirwa Sixbert :
apo ni tanzania au ni china
naomba jibu make kama nazinduka usingizini
2026-08-05 08:42:26
3
nibretstudio :
hii. shule ipo wapi niimpeleke mwanangu
2026-08-04 10:15:35
2
user7908136946394 :
Hii shule ipo wapi nataka nimlete mwanangu, tafadhali naombeni location ya kweli
2026-08-04 08:52:21
7
ngonyani_tronic :
kwani hii shule iko wapi nimlete mwanangu nimeielewa vya kutosha
2026-08-04 07:30:37
6
FredFredrick Msagula :
hii shule iko wapi?
2026-08-05 06:44:58
0
Barnabas William Bj :
Jamani hivi ada hapa bei gani
2026-08-04 07:14:49
0
FUNDI FURNITURE :
hii sasa ndo mitaala tunayo itaka safi sana
2026-08-04 05:43:57
5
Riziwani Daniel :
ww Nan kakwambia lazma secondary kufanya Nini ? , wakimalza wanapandishwa kujifunza level nyingne ya magar , wakimalza level zote basi anaingia mtaan na ujuzi wake kutafta kazi , mapema sana akiwa na Miaka 16 tu anakuwa ni fundi hatari sana