jamn wema she cant wait to seeh he's baby so don juj wbt her pls😔😔
2026-08-04 14:55:49
0
mbwambo :
oya hii issues Iko seriously? mbona mnanichanganya tz
2026-08-04 03:41:55
3
drezzy ❤ :
Usifananishe furaha ya kupata mtoto na uchungu 💔 kunatofaut kubwa sana kati ya kuomba jambo kwa mda mrefu na kupata
2026-08-04 04:15:22
61
mama H 2 :
kusema kweli mbele ya Allaah atakama ni iyo furaha uchungu upo palepale na uzito upo pale pale kwa kuamka bila uzito mmmmm mi nina mashaka ila naomba Allaah unisamee kwani mimi ni binadamu tu🙏
2026-08-04 05:11:06
28
Ester j benard :
ni saw furah ila jaman wakat wa ujauzito lzima kunA utofauti jaman hasa kipnd cha mwisho hali ya kuchoka kunaulazima, naumwa jamn nisiguswe
wema watu wanamkosoa jamn ila mm naon yupo saw mwanz walimsem habeb mimb sas mung kajiib maomb yake kwann asifurahie jamn hat kam wew jamn umedharaurika na kutupiwa maneno mabay na watu leo mung ajib maomb yako utashindw furahia jamn kam ujawah fanyiw unyam na binadam hiez elew wema anamaanisha nn wew love me
2026-08-04 05:33:33
9
MAMA ROBA :
mm Nawakumbusha tunatofautiana ubebaji wa mimba.
2026-08-05 08:16:49
1
hafidhsalim0 :
hapa wa kweli kaonekana
2026-08-03 23:02:20
8
💫𝐑𝐨𝐲𝐚𝐥_𝐒𝐨𝐮𝐥👑 :
me nashindwa kumtetea wema😂😂😂😂
2026-08-04 17:38:09
1
Aisha mabundo :
mtamsema sana wema kubalini matokeo mungu kamjaalia jamani hiyo hali ya zuchu ilinikuta na mimi inaitwa odema kuvimba mwilii kipindi cha mwisho cha ujauzito sasa hiyo hali wema haikumtokea acheni kumuumiza mtu kwa maneno kila siku jamani
2026-08-04 10:04:51
4
lucky :
jaman mimi pia nilikuwa mwepesi
kwanza nimeenda leba nes hakuamin kama nina miez 9🤣🤣sikuvimba pua wala macho
2026-08-04 07:33:26
7
user9707923226129 :
hapana jambo hapa
2026-08-05 06:49:57
1
smart..head🐰 :
ila wema😂😂
2026-08-05 05:32:50
1
edisa Jackson :
hakunaa
2026-08-04 21:36:14
1
mamaa :
msisahau wema amepata mtot uzeeni lazima furaha yk iwe kubwa zaidi ya zuchu bado damu changa jmn mbn waja mnamambo wallah ngj tumiachie allah ndoanajua kila kt
2026-08-04 06:30:08
5
Victoria ikomeja :
sio Kila mwanamke anadeka
2026-08-04 19:58:25
1
Eshaommy :
kila ina mimba inachangamoto zake Ivyo kwa mtu ambaye kashapata mimba ata mara tatu au mbili sizani kama anaweza kumkosoa wema
2026-08-04 07:22:23
5
DivaaCatty :
jmn hv hamuwezi acha maisha ya watu jmn mnamfanya mtu anyong'onyee yule nae anaroho hv mnazan akiona hv ni nmn gan anajisikia usifanye kitu kwa maslai yako ya kupata followers wengi angalia nfc ya mtu fanya mambo mengine ila sio kuingilia issue za watu zilizo serious....ni ushaur2
2026-08-04 04:02:05
2
Miss Aurah!! :
ila inafurahsha😁
2026-08-04 17:41:28
1
Asya_Nalino🌹 :
kwakweli mi nasoma coment🤐🤐🤐
2026-08-04 18:40:08
1
Asha Said :
kuzaa kunauma weeee asikudanganye mtu mm mwenyewe nilichoka
2026-08-04 11:23:41
2
Mama Jamy :
WEMA yeye hakushikwa na uchungu,Mimba yake ni precious baby,so alipewa date,mtoto asha mature aende kutolewa But
Zuchu ameumwaaa,akafanya mazoezii,ilivyoshindikanaa ndio akafanyiwa operation.
2026-08-04 13:54:12
2
Naah Heinrich 🥰 :
mimba si ugonjwa
2026-08-04 10:19:37
1
Salagandß de_YG :
hii ndio tofauti ya Gen z na millennium 😂😅😅 watoto wa 2000 na millenium😂
2026-08-04 17:50:47
1
To see more videos from user @arshamtv_tz, please go to the Tikwm
homepage.