@minobongo25: "Haya ndo maneno ambayo Zuchu alimuambia Diamond Platnumz wakati anataka kujifungua mtoto" -Maimrtha.

Mino.Bongo
Mino.Bongo
Open In TikTok:
Region: TZ
Monday 03 August 2026 20:31:11 GMT
507463
37182
632
487

Music

Download

Comments

lenny69686
Lenny 💕 :
Kwann zuchu aliwakosea nn ndugu zake diamond
2026-08-04 05:55:32
305
fatinyo0
fatinyo :
ehhhh ulikuwepo🤣🤣🤣🤣🤣
2026-08-03 22:01:40
483
ummu_santy
UmmuSanty :
Uchungu gani na wakati ni arranged c section
2026-08-03 21:28:54
104
kiki_bloom0
Eng.Kiki🌸💐 :
Ati alisema aje wakenya wenzangu ? Siskii
2026-08-04 02:38:27
48
rizoibrahimovich
Rizo Ibrahimovich :
esma nan kwan
2026-08-04 07:40:07
0
jackie07118
Jackie :
naomba kuuliza mam dangote alienda hospital
2026-08-04 04:09:48
42
user8760288505173
mama vijimambo :
Zuchu ako na hekima sana mungu.amstiri
2026-08-04 05:35:45
123
user2834881924066
user2834881924066 :
mimi ata ndugu wa mume wanichukie mimi cjali
2026-08-04 04:04:43
43
user231019255546
Mayi soft glam :
aliwakoseya nini jamani wamsamehe bure dunia tunapita
2026-08-03 21:59:29
111
zawadi1636
@zawadi :
Watanzania mkifuatilia katiba yenu mnavyofuatilia ndoa za watu 😌😌
2026-08-03 23:25:37
358
itsmanka1
Mamake Lee :
ulikuwepooo
2026-08-04 03:16:39
20
thani_wa_suu
🦋🦋Saltanatmayaa 🦋🦋 :
yaani anaongea kama alikuwepo 🤌
2026-08-03 23:05:22
18
rachmy.tokolonga
Rachuy musika munyanga :
Ulikuwa apo 😳
2026-08-03 22:27:55
10
bazaar997
BAZAAR :
Zuchu kaunga udugu then neema zikaja🥰🥰🥰
2026-08-03 21:30:41
19
hidayaswaleh
Hidaya Abdallah :
ulikuwepo Mairmatha😂😂😂
2026-08-04 05:17:24
15
mamyshuu14
shuu :
ulikuwepo wakati anaongea ivo jamani heee
2026-08-04 07:36:28
11
user47593062683174
HONEY OG :
ndiyo zuchu ni mtoto wa kiislam .ametimiza ada na ana thawabu kwa kuomba na kusamehe na kusamehewa
2026-08-03 21:29:15
14
salmakirimba
Salmayek :
mbona mnajiamulia maneno
2026-08-04 01:51:44
5
jacklinekateme
Rahabu mwalukasa :
20/20
2026-08-04 05:29:33
5
o.f.fical
￴￴￴ ￴￴ ￴￴ ￴￴￴ ￴￴ ￴￴￴ ￴￴ ￴ :
mai jamani wajua kutudanganya
2026-08-03 21:47:03
8
the.queen2181
the queen 💞 :
ila mai wa maitv😆
2026-08-03 21:19:02
10
fallywecci8
fallywecci :
Weeee ulikuwepoo apooo anasemaga hayoo maneno 😁😁😁
2026-08-03 21:26:07
6
jane.kikoti
Jane Kikoti :
Kwani zuchu aliwakosea nini mbona hao ndugu wa diamond wangese hivo kisa tu hela
2026-08-03 23:55:44
14
ganrick2
Ganrick Gee! :
weee umesikia wapiiiii!??😅
2026-08-03 21:12:35
6
rosedee679
Rose🌹 :
10)10
2026-08-04 11:03:43
0
To see more videos from user @minobongo25, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About