@akismediatz: Baba Mazazi Wa Diamond #Mwamposa #MwamposaTiktok #NabiiMwamposa #MwamposaPower #MtumeMwamposa 🇰🇪 🇹🇿

AKIS MEDIA
AKIS MEDIA
Open In TikTok:
Region: TZ
Monday 03 August 2026 21:17:23 GMT
112876
3922
258
79

Music

Download

Comments

lawyer0719
Lawyer :
Kwani hana watoto wengine????
2026-08-04 05:21:15
56
tuliya.kalunga9
Tuliya Kalunga9 :
uruma di
2026-08-04 10:56:48
0
motherbigy
motherbigy :
ulipomkataa ukujua kuna kesho ya mtu
2026-08-04 05:43:03
52
cholo_artist..5
NASSOR :
mzazi ni mzazi tu ata kama alikukataa atabaki kuwa ni mzazi wako tu
2026-08-04 05:45:35
76
hellen.unique.clo
Hellen.Unique cloth Designer💃 :
kafanan na diamond adi sauti 😳😳
2026-08-04 06:11:48
26
jackie07118
Jackie :
hilo n funzo kubwa sana watu wajifunze
2026-08-04 07:02:12
13
user6521848194729
sidika 21 :
mhm sitii neno mana sikuwepo
2026-08-04 08:10:37
5
cloud27019
+cloud :
inaitwa malipo ni hapa hapa duniani ukipanda mema uatavuna mema inaitwa unavuna ulichopanda
2026-08-04 05:38:17
36
kemmymora12
kemmymoraa :
me hata kama baba alinikataa nikifanikiwa Bora ni damu yangu nitamlinda
2026-08-04 07:47:55
15
ms.ilham13
Miss ilham💎✅ :
Mama mond pongez kwako mama ulijua kumpa sumu mwanao safi sana
2026-08-04 11:01:28
5
husna.mazrui
Husna Mazrui :
Subuhanna Allah binadamu hajui anachokifanya Mzee ni Mzee tu..Allah.akupe.subra. inauma
2026-08-04 04:35:57
21
user4281724700885
user4281724700885 :
kale ka wimbo, utavunaulichopandaaaaaaaaa, utavunaulichopandaaaàaaaa
2026-08-04 06:38:35
5
vee54862
Vee💗💞💞💞 :
Masingo mother tunaijua ngoma ya kulea mtoto mpaka awe mtu mzimaa aloooo
2026-08-04 09:50:26
5
aishambise25
shany :
jaman we nenda tu watakupokea 🥰🥰🥰
2026-08-03 21:22:33
17
user8197863352321
neithan :
ulivomkataa hukujua kesho? kumbee
2026-08-04 07:58:58
5
official.sasha60
official sasha :
mm naamini akienda zuchu atampokea hata km diamond atapinga lkn zuchu atamuelekeza
2026-08-04 05:08:53
7
shabani_maganga
shabani maganga :
shida ilikuwa ni nini hapo mwanzoni.😃
2026-08-04 05:52:21
5
dk..mdash
D_k :
sema huyu baaba kafananae diamond kaabisa yaan bla ata DNA
2026-08-04 03:25:11
9
0777535464d
Famaira collection :
kwani huyu baba ake mzazi?
2026-08-04 04:22:33
9
user7985676115717
Jemmy's🥰 :
ifike hatua wanaume hudumieni watoto wenu hili liwe funzo
2026-08-04 07:58:32
2
glory.mexhack
Suzy :
Mhhh
2026-08-04 09:02:13
1
cevookemzone
cevookemzone :
yapasa kusamehe
2026-08-04 07:03:11
1
viviananderson208
miss vee🥰😘 :
Sasa diamond aki Zeeka ata fanana ivi ☺️
2026-08-04 10:14:05
0
To see more videos from user @akismediatz, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About