@lilymediaa: hapa mond alikua anaongea na mzazi mwenzake mama tifah(zari) kwahyo alitaka akaone hako katoto mondi anajibu haka hapa 😂🤣 @Zuhuraa Chorage🕊🕊🦋🦋 #diamond #rayvannyhospitarikwazuchu #goviral #yangashalulile #trendingviralvideo

lilymedia
lilymedia
Open In TikTok:
Region: TZ
Monday 03 August 2026 22:44:34 GMT
118670
5097
92
109

Music

Download

Comments

jida.jida76
Jida Jida :
🤣🤣🤣🤣zari anaroho safi sana
2026-08-04 01:51:41
155
habty61
habty ♥️ :
like latifa yaaah😂🥰
2026-08-04 06:17:54
14
berry.betty51
Berry Betty :
zari ana roho ya kuachilia na upendo ndani yake
2026-08-04 07:26:26
26
user7060261533320
Cute Doreen :
Yan Nimependa watoto wako wanamidomo baba ti😂😂
2026-08-04 07:41:53
5
asiamlkkfqt
Asia mkwizu :
me napenda wameachana lakini wanaupendo sana dah raha sana
2026-08-04 05:18:51
57
cherishy06
Princess cherish :
Uwiiiii kuna mimi apo nishanunaaa
2026-08-03 23:40:16
65
mshale720
mshalethe :
mashaallah zari mam t
2026-08-04 08:16:16
0
as.sage.femme
As sage femme :
he banange...
2026-08-04 04:07:56
5
coeur2995
cœur P🙊🤎🕋 :
Napenda anavyo muita Maman Ti🥰🤣🤣🤣🤣
2026-08-04 07:25:03
1
imaanmadin_electrostores
Imaan Madina Stores :
Wenzangu mnalala
2026-08-04 00:19:42
13
user3781900166551
Mama wini Soft drink💞💕💯 :
tunamsubili na tifa aje amuone mdogo wake wa sandra
2026-08-04 06:53:23
2
bintmalik1
FARHAT MALIK🇴🇲to🇹🇿💕 :
Aje jamani tz kutachangamka zaid
2026-08-04 06:48:28
2
mariam.shariff23
Mariam Shariff :
laiki latifa
2026-08-04 06:10:02
3
humble_strider
MUMY -brother's (king's 👑) :
mi ntaweza uo moyo wa zariii.. sijuiii
2026-08-04 07:20:10
3
daty200
daty :
zari anampenda zuchu sana
2026-08-04 08:00:26
0
user2297454309697hafsa
hafsashaban :
natafuta kazi
2026-08-04 06:38:57
0
original.wa.love
original wa love :
he banange
2026-08-04 04:15:44
2
user3781900166551
Mama wini Soft drink💞💕💯 :
nazuhura hana makuuu na max wa mondi kiroho safi mungu akubariki sana
2026-08-04 06:50:50
1
luckyfashion_tz
luckyfashion_ Tanga :
Mama Tee ni Kama mimi tu yeye ndio kila kitu no Marwa waaaaaa
2026-08-04 05:39:49
5
www.tanya07.com
Tanya :
Banange😅
2026-08-04 06:45:49
0
momjosephati
Teressa :
😂😂😂😂weeeee mi siwez🥰
2026-08-04 09:02:06
0
user21154164
Bint khamic :
Like Tiffah hd rahaa
2026-08-04 08:20:46
0
zalhat4
zalhat :
kua mke wa mondi yataka.moyo sana😂😂😂
2026-08-03 23:21:18
29
user2425409906610
user2425409906610 :
watoto wako wanamidomo 😂😂😂😂
2026-08-04 00:21:26
20
To see more videos from user @lilymediaa, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About