@djmoo8: KUMEANZA KUCHANGA MKASASA

deej moo
deej moo
Open In TikTok:
Region: TZ
Tuesday 04 August 2026 04:16:25 GMT
57006
1137
116
233

Music

Download

Comments

user65090320456810
mshua moi :
daaaah aiseee tutatoboa kweliiii
2026-08-05 07:21:40
0
user9781813727295
ukhty zaitun :
lnnalillah wainnaillah rajiun hakika nmsiba mzito saaan kesho tunachakumjib mungu😭😭😭😭
2026-08-04 10:28:20
84
soulsugar__
Zeeytotoh___🫦🦋🦄 :
Mtihan Wallah, Allah nusuru Vizazi vyetu Wallah🥹🤲🏻
2026-08-04 15:43:42
2
aneth.cute35
It's me Anne🎀🫧🔏 :
munguuuuuu wng tusioolewa ndy bas tena maan wanawak tunazd kuw weng na kuw mchngnyiko yaan mmm😢🫣
2026-08-05 18:39:38
2
haitham.khan2
haitham khan :
eeeh mungu tunusulu na vizazi vyt
2026-08-04 14:33:40
9
user54907565319367
shery 👩‍❤️‍💋‍👨& mpn🫶♥️ :
mwenyezi mungu tulindee vizazi vyetu 🤲🙏🥲 ukimuona mtt wamwenzio ana alibikiwa usimnyoshehe video dole kumuombea kwamwenyezi mungu tuu
2026-08-04 14:36:28
15
hennagirlartist
hennakahama@ :
Mnasababisha jua linakua kali mpunguze bac hayo mambo jaman,M/mungu awaongoze kwenye njia iliyonyooka aminn
2026-08-05 19:45:44
1
mc_big_christz
Official Mc big Chris :
UNAZENGUA DOGO,FUTA HIZO POST.
2026-08-04 15:01:44
13
finegirl.05
Salma Paul :
ila sisi wanawake mungu anatuona
2026-08-04 17:33:02
2
user40297696124344
Rahma Said 🥰♥️ :
nkifikiria mwanangu kwao dar naishiwa pawa, atakaa tuu huku mkoani aseeee🥺🥺🥺🥺
2026-08-05 08:07:15
1
amina.muktari
Amina Muktari :
jina la wimbo plz
2026-08-04 22:23:27
0
azizamohamedi841
🎀chimamy🥀🌹 :
naomba jina la taharabu kaka angu
2026-08-05 05:47:39
0
beach.boy89
it's🏝️🏝️🏝️B :
waliogundua kua ushwahilini sio kwa wahuni tena tujuane
2026-08-04 22:08:57
3
venaaaaa576
venaaaaa :
ukitazama usichekee mana huyajui yakesho kwamwanao
2026-08-05 11:44:04
1
suleiman.vegetabl
Suleiman Vegetable :
Nchi inaelekea pabaya hii tusipo simama imara hakutakua na nguvukaz
2026-08-05 03:50:26
1
user6817032734676
Mc mwasi kitoko :
hawa wadudu mbona wengi kwenye hii shuguli jmn wamejaa wao wanatamba wao tyuu khaa wanawake na mashetani wenzao😂😂apo ukiwazoom wote wana mikia nyuma umo ndani kwa nn wanawake tunapenda kukumbatia vitu vya hovyoo wa nini hao jmn 🤣🤣mana ncheka kama mazuri khaa
2026-08-04 16:34:25
3
zaincodeweb
Marzain~🤗💦 :
wenzetu hawana maneno saiv kimnyaaa kikali ila Allah atuongoze mitihani
2026-08-05 10:53:18
1
user9977886098303
likandaZEboss :
Innalilah Wainalilah Rajiun
2026-08-04 14:07:35
1
fellydon2
NUHDIN RIDER :
dunia kama inaelekea kuisha
2026-08-04 13:42:13
1
amina.rajabu119
Amina Rajabu :
mnazidi jaman tunakwenda wapi
2026-08-05 19:47:15
0
babybarbiehamza
Mc BABI TZ :
daaah Mungu tusaidie 😭😭😭🤲🤲Naogopa sana
2026-08-05 20:17:46
0
jowizzysela
Jo Wizzy Sela :
ya allah tukuziye watoto wetu kwenye madili mema maana huu mtihan mkubwa sana
2026-08-05 20:14:15
1
user3840063561502
Asha Mussa :
wanawake sisis tunashida gani ? kwani
2026-08-05 21:42:05
0
staasony
staa♤sony💕 :
tunakwenda wapi jamani tumuogope. mungu wamama kunajesho tutamwambia nini mungu
2026-08-05 22:15:51
1
To see more videos from user @djmoo8, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About