@alexmwamtobe:

@Alex Mwamtobe
@Alex Mwamtobe
Open In TikTok:
Region: TZ
Tuesday 04 August 2026 04:41:44 GMT
4599
197
12
19

Music

Download

Comments

mr77531
Mr Thinker :
Hesabu ni rahisi sema nilifundishwa na mwalimu wa hovyo enzi hizo
2026-08-04 05:56:59
4
durak_tz
Durak_ tz :
Nice
2026-08-04 05:58:09
2
jasusilambingun
LA MBINGUNI😎 :
je sisi wazazi ambao hatujui kusoma inakuaje sasa hapo mimi nahis kama unanifokea
2026-08-05 17:30:11
0
msabato209
msabato209 :
zikiwa 2, 3 au 5 unafanyaje
2026-08-05 11:50:38
0
rehema.mtibusa
Rehema Mtibusa :
wewe ni mwalimu mzuri unaeleweka vizuri hongera sana
2026-08-05 12:45:38
0
evamrema44
e.maningi :
Kaka hesbu hii ilikuwa ngumu sana mie nimesoma miaka ya 1988 hadi 1991 iwish ungekua mwl wangu walai ningetoboa
2026-08-04 17:37:19
2
debecca26
debecca26 :
Dah!!!!😭😭😭😭 nilichogundua mwalimu aliyenifundisha hesabu alikalilishwa ningepata mwalimu kama ww ningependa sana hesabu hongera kwa mbinu zako kwl hesabu rahisi sanaaaaaa
2026-08-05 16:45:49
0
user4433802034815
baraka :
naomba usolve swali la kipeuo cha pili lenye tarakimu saba
2026-08-04 11:00:34
0
evamrema44
e.maningi :
Asante nitakua mwalim wa wajuuku zangu😃😁
2026-08-04 17:38:27
1
545kambi
KAMBI POPOTE :
💯
2026-08-04 20:45:38
1
danielnanai103
Pastor Daniel 🙏🙏 :
🤝🤝🤝
2026-08-04 11:22:55
1
To see more videos from user @alexmwamtobe, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About