Kitu kinachonipa stress ni kwamba mtoto wangu akipitia niliyooitia ataweza kuhimiliii Mungu Nipe hekima ya kuwa mama kwa bintiii na kijana wangua na hekima ya kuwapitisha kwenye makusudi uliyoweka ndani Yao
2026-08-05 10:53:18
0
shayo Mwingereza :
matatu tafadhali 👏👏👏
2026-08-06 13:37:29
0
easter :
yani now days mzee wangu ndo kawa rafiki yangu..way back yoooh 🙌🤣
2026-08-05 20:00:38
0
user6219279793701 :
Mimi hata simu yangu hapaswi hata kuchungulia hata kwa bahati mbaya
2026-08-05 15:00:40
3
tinajeph :
Asante
2026-08-04 18:16:02
3
Charity :
mtoto wangu 9yrs aliniuliza huyu mtoto ulimzaaje ulipasuliwa tumbo kama tunavyompasua huyu kuku😅 nikakurupuka nikamwambia hapana akasema Sasa ulimzaaje na alikua tumboni🤣🤣 nikamwambia em kafue huko nguo zako usinisumbue
2026-08-05 13:58:18
0
Hamza Mbaliye :
makofii
2026-08-04 17:52:41
3
Kaijage Kyoma :
✍️✍️✍️
2026-08-04 13:02:59
3
kimangila girl ❤️ :
✍️
2026-08-04 14:52:23
3
To see more videos from user @mr.raniviri2009, please go to the Tikwm
homepage.