jaman kwan mungu kwa nin usituwekee ulinzi mkubwa kwa watu km hawa ndan ya taifa letu kwa nn unaruhusu wanyanyasike mungu ww ni mkubwa wa kila kitu embu jitukuze ktk hili ili tuendelee kuwa na imani na ww baba
2026-08-05 06:46:11
0
glasswiyne :
mungu akutangulie huko ulipo comrade
2026-08-05 04:59:43
0
Deus comfort mbeya :
jaman wejamaa ulijua sana
2026-08-04 18:47:27
0
Imani Amoni :
kwani uko wapi ndugu yetu mpendwa uko wapi polepole katika watu mhimu ndani ya hili taifa ni huyu mtu
2026-08-05 05:09:49
0
Frëēdøm îs çømîñg🔊🎺 🎷 :
2026-08-04 09:05:46
0
chaz :
ukiwa mkweli kwa ccm unakuwa adui number one
2026-08-04 21:45:21
0
user3611991609265 :
CCM walishapotea. Wamempoteza wenyewe kwa maslahi yao wenyewe.
2026-08-04 17:44:14
0
Ng'hanga Gasita :
salute
2026-08-04 18:30:03
0
Robson :
CCM haifai kiwepo Tanzania kabisa
2026-08-04 17:24:16
0
SIBU NDEMBE :
alikuwa mbele ya muda na kila alicho kisema kime timia
2026-08-05 06:55:16
0
mchungaji Paulo chamajibu :
yaani utawala wasamia bwana wamemuuwa hamphrey polepole kabisa aise
2026-08-05 06:16:17
0
For Real ✌️ and 💞💞🇹🇿🇹🇿!! :
Mwenyenzi mungu akubaliki sana, kweli jembe la nguvu, ujumbe umefika kwa washenzi watabia viongozi mafisadi majangili wauwaji wezi wa rasilimali za Tanganyika!!**
2026-08-05 06:38:43
0
To see more videos from user @hon_immanuel_mwita, please go to the Tikwm
homepage.