@vin___lubs30: Part 2 | Tukemee ushoga wanangu kizazi kina haribika #fyp #foryou #who #trending #tanzaniantiktok🇹🇿

🌟VIN✨LUBS💫
🌟VIN✨LUBS💫
Open In TikTok:
Region: TZ
Tuesday 04 August 2026 06:20:43 GMT
18410
1138
65
13

Music

Download

Comments

alphoncekomba936
Comfort Chain :
bora amekuita kaka je angekuita udugu wangu
2026-08-04 12:32:39
21
dopedclassic7
Dopedclassic :
Kinachoniumiza serikali imekaa kmya sna 🥺
2026-08-04 08:01:26
24
huler226
huler562 :
ivi kujitoa tanzania unabonyeza ngapi ngapi
2026-08-04 12:40:50
3
karim_.2024
Abdulkarimu Matimbwa :
Kaanze na mjomba chai😁😁
2026-08-04 08:30:56
6
sharifu.ahamadi.m
sharfu 🇹🇿 :
mambo kaka😀
2026-08-04 06:32:58
5
gracebarabara812
the great 👍 :
JUA Kali kweli ..hela yangu nilianika ililoa baadae kuja kuangalia imeungua daaaah 🥺🥺🥺🥺😔😔
2026-08-04 08:35:57
2
user94823670529304
fransiscojoseph042 :
Kaka hakika asee tunaongea ukweli saluti kwako🫡🫡🫡🫡🫡
2026-08-04 17:38:01
5
mwalim_junior
Kassim Abdallah :
KATA USHOGA 👊🏻
2026-08-04 18:29:32
4
bakiri90
bakiri90 :
duh sahihi kaka
2026-08-04 18:04:55
2
pinyerboe8
Sky lord 🦅 :
leo ndo umeongea point kakaa sijui umekula nn ila ujumbe umefika
2026-08-11 05:15:39
1
sharifabakari4
DA SHERRY🇴🇲✈️🇹🇿🙏 :
Tena Wana uhuru sasaivi cjui serikali hilo hawalioni roho inauma mm kama mzazi jamani dah😭😭
2026-08-05 12:52:14
3
dftz29
Andrew Bracken (Proudly Deaf) :
kutokujitambua tusikilize na wazazi wetu wanachotushaurii na mambo ya ustarehe yapo tu ivi sio vifo Mungu anavyovitaka ni kuletea wazazi kovu la maisha tu kwa nn mtu tayr una mtoto usiwe na uchungu na yule kiumbe ulie mleta duniani uka take care ukaachana na mambo ya heka heka za dunia jman yaan duuu mm naendelea kujifunza kupitia haya
2026-08-04 21:06:38
2
charminggily2
Cendy 💥✨💫💥 :
Chukua pepsi bill ya kwangu 😂😂😂leo umeongea 🙌🙌🙌🙌
2026-08-07 04:12:23
1
meshacklizer
2pac shackur :
broo kuna watu wapo busy kusema pikipiki pikipiki arusha broo nakuunga mkono wanaongelea pikipiki za arushaa
2026-08-04 12:45:00
3
moseyobo579
moseyobo579 :
uko sawa kaka
2026-08-04 12:45:02
1
lightvocalist
L@vocalist gospel singer :
wapo kimya kama hawaoni
2026-08-06 11:14:02
1
salumu.lipongo
Salumu Lipongo :
kaka tuongeze mapambano kwenye jamii ya leo
2026-08-04 08:22:31
2
mohammed.ramadhan080
Tete boy :
Unaongea point kinoma mwamba heshima kwako njoo na kambi tunywe chai kaka
2026-08-04 15:38:10
1
priscamongela
pm💞 :
hatari sana kaka mi naumia sana 😭😭😭😭😭
2026-08-18 06:39:36
0
zaincodeweb
Marzain~🤗💦 :
unasem wapy 😂🤣
2026-08-12 09:06:13
1
kim26_062
Kim sarang :
majua matatu ila vin 😂😂😂sema so perfect
2026-08-15 14:25:40
0
user549686091376
frank msonge ndalo :
kweli familia
2026-08-14 13:36:53
0
jafalihabibu
Jafali Habibu :
🤣🤣🤣 pamojaah
2026-08-14 12:19:03
0
farhiyakhamis
farihiya :
mtihani
2026-08-14 07:34:30
0
dulla.black0
dulla black :
dah dharau
2026-08-04 16:24:15
1
To see more videos from user @vin___lubs30, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About