@ali_wisdom: Nilikaa nikivumilia, nikitumaini kesho ingebeba mabadiliko. Kila nilichokiita subira, kilikuwa kinaendelea kuninyima amani. Mpaka nilipokuja kuelewa kuwa kuna vitu havibadiliki, hata ukiweka moyo wako wote ndani yake. Wakati mwingine kuondoka si kwa sababu umechoka kupenda, bali kwa sababu umechoka kuumiza moyo wako kwa matumaini yasiyo na mwisho. #creatorsearchinsights #viralvideo #foryou
Ila kupenda kumewapa wengi maumivu mazito na majeraha ya kudumu.Wakati mwingine ni bora kujivua katika upendo kuliko kung'ang'ania upendo kwa watu ambao hawathamini juhudi zetu.Ikiwa subira inazidi kutupa maumivu ni bora kuwa mbali angalau majeraha wenda yakapata amani.😔😔😔
#Zakaria Omar
2026-08-04 11:40:20
2
Husna :
Nilikaa nikivumilia,nikitumaini kesho ingebeba mabadiliko.kila nilichokiita subira,kilikuwa kinaendelea kuninyima amani. Mpaka nilipokuja kuelewa kuwa kuna vitu havibadiliki,hata ukiweka moyo wako wote ndani yake. wakati mwengine tunaondoka si kwa sababu tumechoka kupenda, bali kwa sababu tumechoka kuumiza moyo kwa matumaini yasiyo na mwisho.
2026-08-04 09:13:56
2
Shaakir_wasafiii😎 :
ali bora kuzuia tatizo kabla ya kusubiri kutibu
ugonjwa wallah nakwambia💐😎
2026-08-04 10:18:26
1
Free mind :
Nimejifunza bora nibakie kwenye upande wa nakupenda pia tu unanitosha
2026-08-04 11:52:05
0
stellasimon :
pole sana
2026-08-04 12:28:20
0
@123456 :
😩😩😩😩
2026-08-04 07:51:05
1
hamadrashid :
💔💔💔
2026-08-04 10:53:06
1
hamadrashid :
💔
2026-08-04 10:53:46
1
To see more videos from user @ali_wisdom, please go to the Tikwm
homepage.