@wasafi_media: Zuchu ameshukuru watu wote kwa ujumla kwa mapokezi mazuri ya mtoto wake💥🥰 #zuchu

Wasafi Media
Wasafi Media
Open In TikTok:
Region: TZ
Tuesday 04 August 2026 06:51:09 GMT
47160
3097
48
28

Music

Download

Comments

maryanna_clinic_s
Maryanna_clinic_saloon :
Nampenda zuchu wngu meme🥰
2026-08-05 10:45:50
0
mtaanikwangu1
nabro 🎱 :
Zuchu abujuu bujuuuuuuuu
2026-08-05 11:39:00
0
salimmaulidi303
Dog@zakaun :
Anaitwa nani mtoto
2026-08-05 12:30:53
6
true_love_doesnt_die
True Love :
Unamaanisha sisi Wakenya hatujakua involved kwa mapokezi ya mtoto 😁😕
2026-08-05 09:58:27
1
gugx_monroe
gugx :
mtotoo wa taifa siwa whozu jamaan
2026-08-05 18:10:55
1
masterfunny210
PURPOSE GENERATION :
Basi kuna wanawake/mama wataona kama waume zao hawawapendi kwa kile alichokifanya Diamond kwa Zuchu. 😄 Lakini tusisahau kwamba kila mtu ana uwezo, mazingira na namna yake ya kuonyesha upendo. Wapo wenye connections, uwezo mkubwa wa kifedha na fursa tofauti tofauti. Hiyo haimaanishi kwamba asiyefanya hivyo hampendi mwenza wake. Tusijilinganishe na wengine. Tuthamini juhudi, heshima, uaminifu na upendo wa kweli katika mahusiano yetu. All in all hongera nyingi kwao
2026-08-04 09:53:44
2
rauph.el_khaan
el.kHAAN :
tutakuwa maana tunauchungu na Hela zetu ✌️🤣
2026-08-12 08:20:35
0
beatrice.japhet.j
ElitwazaBJ :
uwiiiii mbona watu watamuumiza jamn mmmmh hapn aadhiniwe ila so San jmn
2026-08-12 09:42:27
0
secymauki
cecy :
naham nikatie konzi Ata sasa mana kamejua kutuweka busy Hadi WiFi zetu zikastaki🥲🥲😅😅😅
2026-08-07 05:01:35
0
sampuli.bantu
Cave of God :
mama bora nimependa kauli yako
2026-08-06 09:27:05
0
hamissi.saidi
Bādråø ūnstøppāblē🔷 :
siiiiiji siiiiiji
2026-08-12 07:58:10
0
kakappouli666
kaka-P+243 :
hapo ndo umeongea hadi wa congo tumefurahi na shukrani kwako na mondi kumleta mrisi ila ninaombi kwa mondi atuliye na zuhura pekeake awe kama sisi wa congo
2026-08-05 09:15:50
2
mrs63790
rosemary🥰🥰🥰🥰 :
ruhùsa tumepew ila pakumpàta uyo mtot sas
2026-08-06 20:03:46
0
esco__23
Esco :
Zuu Benz
2026-08-04 08:08:31
1
dogo_travesi
Dogo Travesi :
Mtoto anaitwa Zurura
2026-08-06 06:02:47
0
laurmhulu125
MALAIKA LAUR 😘 :
Asante nitamkoa hata hajakosea😂😂😂
2026-08-06 06:14:58
0
dajuli_kariakoo
dajuli_kariakoo :
Ruhusa tumepata ndio ila huyo mtoto tutakutana nae wapi 🤣😂😂
2026-08-06 19:27:05
0
user8378823697745
Aisha :
Mashallah hongela kipenz tuna kupenda sana🥰🥰
2026-08-04 07:13:59
0
user55473116251137
gania konki :
inshaallah 🥰🥰
2026-08-06 18:09:15
0
nyambiro.jk
NYAMBIRO JK :
mbona sio zuchu ila nilisema huyu zuchu lazima afanane na mama yake
2026-08-05 17:32:06
0
chandewiski
Chande Wiski :
hongera malkia wetu
2026-08-04 11:25:24
0
abdulmlisho1
abdul mrisho tz :
🥰🥰🥰 dada tanakuona huyo niwetu
2026-08-06 08:19:08
1
edy_yummy
Edy_yummy🍿 :
2026-08-04 07:48:40
0
milner428
Milner :
sasa mtoto wa tajiri tutamuona wapi ntaan huku
2026-08-06 11:59:11
0
To see more videos from user @wasafi_media, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About