@wasafi_media: Ila Diamond bwana🤣🙌 ampa binti yake angalizo mapemaaaa "ole wako upate kimchumba kikuendeshe"😁 #zuchu #baby #wasafi

Wasafi Media
Wasafi Media
Open In TikTok:
Region: TZ
Tuesday 04 August 2026 06:57:46 GMT
69369
5911
70
65

Music

Download

Comments

ngoshamusic1
Ngoshamusic1 :
katika vitu diamond Platnumz nampongeza ni hii issue ya kuwa pamoja na mkewe wakati wa kujifungua MUNGU ampe maisha marefu 🥰
2026-08-04 08:11:47
55
jaqarth
𝓫𝓮 𝓹𝓻𝓸𝓭𝓾𝓬𝓽𝓲𝓿𝓮👊 :
🤣🤣🤣wow but i love him
2026-08-04 16:20:01
0
esteragustino5
Grace Paul :
Amechoka jmn Diamond polee mway umepamban na mkeo sana Hongeren jmn
2026-08-04 07:26:57
19
shamzajane
Shamza jane :
Exactly how Baba Atana feels while it's you time now😂😂😂
2026-08-04 13:46:45
0
e.u.n.i.k.a.n.n
pro💐pitious 💓🌹💓 :
🤣🤣🤣 but dad I love him🤣
2026-08-04 13:57:51
0
moureenkubai
KLM :
but i love him🤣🤣🤣
2026-08-04 13:50:16
0
masterfunny210
PURPOSE GENERATION :
Basi kuna wanawake/mama wataona kama waume zao hawawapendi kwa kile alichokifanya Diamond kwa Zuchu. 😄 Lakini tusisahau kwamba kila mtu ana uwezo, mazingira na namna yake ya kuonyesha upendo. Wapo wenye connections, uwezo mkubwa wa kifedha na fursa tofauti tofauti. Hiyo haimaanishi kwamba asiyefanya hivyo hampendi mwenza wake. Tusijilinganishe na wengine. Tuthamini juhudi, heshima, uaminifu na upendo wa kweli katika mahusiano yetu. All in all hongera nyingi kwao
2026-08-04 09:53:13
4
user4949940103780
Qween ameir :
nawaombea afya njema vipenzi vyangu ila mtoto msimuite sanura hiyo inamaana mbaya ni paka kiarab muiten Zahra ni uwa hilo niuwa letu zuu mdogo wangu
2026-08-04 08:22:33
5
its.asel54
its -asel :
mbona apo pazuri tuu
2026-08-04 08:02:16
8
jamila.juma55
Jamila Juma :
jmn Bado amjaruhusiwa
2026-08-04 08:11:17
13
nyangasy01
sAiD nyangasy❤🤕😹 :
niwangu uyo mi nishamuwah😊🤣🤣
2026-08-04 07:57:55
3
nino.baby58
nino baby :
Apo kweny kimchumba ssa 😂🤣😂
2026-08-04 08:40:34
3
anitah123rd8
Annie🥵💯 :
atleast amepumzika ,,,kasimama sana akipokea zawadi
2026-08-04 14:14:21
1
deyougazadm4
deyougaz ADM moses :
zuchu anajuwa kapata
2026-08-04 08:03:27
3
shei.machozi
Sheila B 💘💘 :
2pis
2026-08-04 08:07:09
1
girlattitude0786
PUNJABI GIRL :
THIS TIME SIMBA BE COOL TO YOUR WIFE BRO THAT MA'AM QUEEN SHE LOVE YOU SO MUCH WHEN you compare her appearance then and now, she clearly comes across as a confident woman. Her demeanor also shows just how deeply she loves her husband. Keep it up, Zuhura—continue to be a true example of what it means to be a wife. you have truly mastered life SHe doesn't need to be a garment for every man to wear. sHe has chosen you SIMBA MY BRO so respect ZUHURA. She gave birth while married. Congratulations, Zuhura that is why I love you—because you are intelligent. That is also why you have so many enemies 👽 you have surpassed them not just in life, but in intellect as well. AND YOU KAKA NAKUOITA MARA 3 KAKA KAKA KAKA NASEMA KISWAHILI KUWEKA MSISITIZO ZUCHU AKILIA TENA SABABU YAKO TUNAANDAMANA This shows just how much I love you both you look wonderful together wallah may allah bless you all and our little PRINCESS BABY OF NATIONAL .I wish I were in that city ( DAR-ESLAAM) I would have come to carry the nation's queen. You are artists I have loved and followed for a long time, and whom I truly admire you are a perfect match I love you both
2026-08-04 14:54:12
0
jzbrandtz
Jz brand tz :
anadeka
2026-08-04 15:04:06
0
ammygyany_92
Ammy🥀🦋 Gyany✨♥️ :
Hongera kwa kuwa n mkeo mdaa wote jmn nasibu wa zuhura
2026-08-04 08:18:49
2
lonicaluther
Kibonge mwepesi :
kupendwa Raha jamani😊😊😊😊
2026-08-04 09:55:17
0
rahmaomari871
Raoshe girl :
Huo ndo upendo ddy wa baby girl☺️☺️☺️☺️
2026-08-04 13:20:10
1
iddysturbon2
MCHOKAtz :
diamond akiwa dukani kwake na mkewe sema braza simba umetisha baba ujue binti yako ndiyo billionear girl wa bongo mpaka sasa
2026-08-04 15:25:34
0
user6519675215150
mama nilane :
so tufanye😂?
2026-08-04 12:30:32
0
gorretkisa1
Gorret Kisa🇺🇬🇨🇩 :
pliz Mpe Mondi maua yake 🌹🌹🌹🙏🙏🙏🤣🤣🤣🤣🤣🥰🥰
2026-08-04 12:22:28
0
kobusingejack
Kobusinge Jack :
kweli?
2026-08-04 15:03:58
0
To see more videos from user @wasafi_media, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About