@sokaplace_: 🌱 KARIBU NANE NANE 🌱 Mwanjelwa Agrovet tupo katika Banda la Seed Co, tukikuletea AMINO CaB mbolea ya maji yenye Nitrojeni (N), Calcium (Ca) na Boroni (B) kwa mazao yenye nguvu, afya na mavuno bora. Faida za AMINO CaB ✅ Huchochea ukuaji wa haraka wa mimea. ✅ Huongeza uimara wa maua na kupunguza kudondoka kwake. ✅ Husaidia utungaji mzuri wa matunda na punje. ✅ Huimarisha kuta za seli kwa mazao yenye ubora na uimara zaidi. ✅ Hupunguza matatizo yanayosababishwa na upungufu wa Calcium na Boroni. ✅ Huongeza ukubwa, ubora wa mazao ✅ Husaidia kuongeza mavuno yenye ubora wa juu. Inafaa kwa mazao kama: 🌽 Mahindi 🍅 Nyanya 🫘 Maharagwe 🥑 Parachichi 🥔 Viazi 🥬 Mbogamboga 🌿 Pamba. Karibu MwanjelwaAgrovet tupo Kwenye Mabanda Yote ya @seedcotz ujionee bidhaa hii bora, upate ushauri wa wataalamu wa kilimo na ujipatie AMINO CaB kwa ajili ya kuongeza tija shambani kwako. Mwanjelwa Agrovet Suluhisho la Kilimo Chenye Mafanikio 🌱🌾