@merina_d: 😂😂🙌

Merina-🎀
Merina-🎀
Open In TikTok:
Region: TZ
Tuesday 04 August 2026 07:05:38 GMT
87996
2293
369
189

Music

Download

Comments

irimina.ulomi
irimina ulomi :
watoto wa walimu tukaambiwa tusinywe😂😂😂😂😂😂 tutapewa nyumbani
2026-08-05 11:43:52
48
ireneaxbypv
official Ryne :
umewaza Nini 😂😂 afu mnapikiwa iyo siku pilau
2026-08-05 12:09:59
24
user596587493462
Miss Deborah🥰 :
sisi uji wa dona😂🤣
2026-08-06 10:13:18
1
vee123a
@…..Vee :
Hadi wababe washule walizimia😂😂😂
2026-08-04 20:56:58
10
totolushoro
totolushoroo :
mm bado kidogo wangeniua nilikua mrefu balaa 🤣🤣
2026-08-05 18:50:16
9
angle_david39
Angel :
duh mimi nilizimia
2026-08-06 08:16:34
1
elirehema.urio.ay
elirehema urio Ayo :
duh nlifika nyumbani kwa taabu aswa
2026-08-05 19:33:04
4
user4261090210695
faith🌹 :
daaaaa nmekumbkaaa mbalii Sanaa mtuu unazmaaa kbcaaa yaniii unazindukaaa na keshoo yakee
2026-08-05 16:57:27
7
hawamshangama
hawa mshangama 🍂 :
nakumbuka nilianguka njian nikaokotwa 😂😂nikapelekwa hospital,kufka hospital mmmh tulikuwa wanafunzi wengi mno 😂😂😂😂huduma ya kwanza ni maziwa 😂😂😂
2026-08-05 07:44:19
5
realjackline.55
. :
niliwahi kuanguka kwenye maindi😂😂🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣 nakuja kuokotwa nipo hoi wiki nzima nilikuwa naangukaa ovyo kama kuku🤣🤣🤣🤣
2026-08-05 14:07:32
10
dayana18666
dayana♥️ :
shul ilifungwa kwa wik moj kwa maan ilikuw atar
2026-08-05 20:40:20
2
hawa.mchai1
hawamchai :
kidogo ziniueee wallah 🤣🤣🤣
2026-08-05 11:14:32
1
osmondkimaro936
osmondkimaro0694842706 :
Mimi sikutumiaga hizo dawa nilihisi haziko sawa
2026-08-05 09:36:11
2
chiijunior77
King🤴Reshaad🫅 :
hahahahah wangetuuwa tyu😅😅😂
2026-08-05 18:31:31
1
user9243842962004
user9243842962004 :
sisi kabla ya kunywa tulipikiwa hadi makande. na shuleni kwetu tukikuwa hatuli maknde ilaaaa🤣🤣🤣🤣🤣
2026-08-05 18:52:57
1
officialmecky1
Trida❤️ :
Alf siku hiz hazipo 😁😂
2026-08-05 22:35:56
0
halimaa5866
h, wht🤍 :
nilikua natembea nafka nyumbani saa 12 jion npo hoi
2026-08-06 05:20:17
0
rayah.juma.457
Rayah juma 457 :
😂😂😂😂 sijui walitaka kutumaliza
2026-08-05 14:12:56
1
itsdez25
it's dez :
sis warefuu 2comment wap maanaaa😂😂😂😂
2026-08-06 05:00:56
1
msongelaphilbert
Mson :
sikuzima ila kizungu zungu
2026-08-05 21:43:41
1
magreth2219
it's mg ❤️🥰. :
Mimi nilikuwa naambiwa nisiende shule 😅😅
2026-08-05 14:35:35
1
dayanninsubisi
Dayannifeston :
tusome
2026-08-05 20:14:55
1
brillah01
brillah :
na ndizi tulikua tunapewa..yan daah😂
2026-08-05 08:57:19
3
lilysmiles1.1
lilysmiles1.1 :
Iyo siku niliumwa nlifika nyumban na kulala na nlikua na uchovu mwili mzima😁 mlitaman niendelee hivyo hivyo ili kesho yake nisiende shule alafu nashangaa nmeamka nmepona😂😂
2026-08-06 10:27:34
3
To see more videos from user @merina_d, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About