@sokaplace_: 🌿 Tunawakaribisha Mwanjelwa Agrovet Kwa Heshima Kubwa Sana 🌿 📍 Bado tupo Nane Mbeya , kwenye mabanda ya @seedcotz Karibu tukuhudumie kwa ushauri wa kitaalamu na pembejeo bora za kilimo. 🌱 MATUMIZI SAHIHI YA AGRICROP 960 EC AGRICROP 960 EC ni dawa ya kuzuia magugu (pre-emergence herbicide) inayotumika kwenye mazao kama mahindi, maharage na alizeti ili kusaidia kudhibiti magugu tangu mwanzo wa msimu. 🟢 Wakati wa Kutumia Pulizia mara baada ya kupanda mazao na kabla magugu hayajaanza kuota. 🟢 Jinsi ya Kuchanganya Changanya ml 100–150 za AGRICROP 960 EC katika lita 20 za maji. 🟢 Jinsi ya Kupulizia ✅ Pulizia kwenye udongo wenye unyevunyevu. ✅ Hakikisha dawa inafika sehemu zote za shamba. ✅ Usipulizie juu ya majani ya mazao. 🟢 Tahadhari 🧤 Vaa glovu, barakoa (mask) na buti wakati wa kutumia dawa. 🌬️ Epuka kupulizia wakati wa upepo mkali. 🚸 Hifadhi dawa mbali na watoto na mifugo. 🟢 Baada ya Kupuliza Usifanye shughuli za kulima au kuchokonoa udongo kwa siku 7–10 ili dawa ipate muda wa kufanya kazi vizuri. 📞 Wasiliana nasi: 0715 691 001 @mwanjelwaagrovetcenter @mwanjelwaagrovetcenter Mwanjelwa Agrovet – Tunajali mafanikio ya mkulima. 🌾