@wasafi_media: Paula kweli ana upendo🤩 afungasha zawadi na kumpelekea mtoto wa Zuchu hospital, na pesa juu akazitoa🙌 akiwa na Jumalokole #diamond #zuchu #wasafi

Wasafi Media
Wasafi Media
Open In TikTok:
Region: TZ
Tuesday 04 August 2026 07:17:28 GMT
116226
4729
59
39

Music

Download

Comments

fionaaisha781
Fiona Aisha :
Paula ajiamin hathaki wigs
2026-08-12 12:34:14
0
raster619
RASTER :
heee mtoto ana iphone 17proo max 2
2026-08-11 20:00:14
0
vancy_x4
vancy...♍️ :
katoto kamezaliwa tayari kamenipita maishaa😂😂
2026-08-04 09:20:59
31
zacky.beauty5
Miss💦 zacky beauty 🧚 :
Nani mwingine alileta 17 promax jamanii.. 😂😂
2026-08-04 16:49:42
2
ms.....baby
MISS LAHODA 🌹 :
hekima na busar alizo nazo zuchu ndo maan anapendwa n kila mtu🥰🥰
2026-08-04 07:50:44
8
kajekmi
jeermaele meso :
😹 pole sana simba😪😭
2026-08-07 18:58:39
0
coboco88
COBOCO tz🇹🇿✨⚡😎 :
jamani me naomba iyapo iphone nyeupe daah
2026-08-07 01:49:54
1
user5546842054065
Joel Bagaya :
Tafadhali fungua akaunti ya benki kwa ajili ya mtoto; usitumie pesa zake😁
2026-08-04 22:52:32
1
user1280781051267
user1280781051267 :
niko njian jaman naomb kupokerew nimekuja nasoks dazan mbili ila sijui hosptal ilipo????
2026-08-09 19:14:12
0
user6948915813477
amuri kroos :
Kiekiekie vraiment ajabu katoto kuzaliwa tu kanakuwa katajiri VR 🥰
2026-08-07 11:38:02
0
masterfunny210
PURPOSE GENERATION :
Basi kuna wanawake/mama wataona kama waume zao hawawapendi kwa kile alichokifanya Diamond kwa Zuchu. 😄 Lakini tusisahau kwamba kila mtu ana uwezo, mazingira na namna yake ya kuonyesha upendo. Wapo wenye connections, uwezo mkubwa wa kifedha na fursa tofauti tofauti. Hiyo haimaanishi kwamba asiyefanya hivyo hampendi mwenza wake. Tusijilinganishe na wengine. Tuthamini juhudi, heshima, uaminifu na upendo wa kweli katika mahusiano yetu. All in all hongera nyingi kwao
2026-08-04 09:52:42
3
fabianojohn6
Faby jr. :
Simba mbona hatulii sasa😁😁
2026-08-06 16:36:15
0
babyruu628
Babyruu :
h
2026-08-10 13:36:58
0
viamaliro262m
Via Maliro :
iPhone 17pro Max ou c'est moi qui suis aveugle
2026-08-07 12:20:08
0
user10460011954593
christina :
jmn laki tano hiyo me gagu nizaliwe sijawahi kushika laki tano
2026-08-07 09:56:53
0
hemedy.hassan2
Hemedy Hassan :
kwakweli ongera mkina dada nakuprnda sana
2026-08-07 10:15:24
0
ginny_unfolded
Ginny :
Hizo shi ngapi wadau?
2026-08-05 14:51:43
0
dimariah87
dimariah :
uwo ndo upendo saa
2026-08-04 07:48:59
0
consolatamarekani
cayrine :
juma atamuacha salama kweli kipenz chetu
2026-08-04 20:59:11
0
nancy.wabuko
crazy 🤪 😜 🤪 :
smart sanaaa lakini 🥰
2026-08-12 22:23:44
0
fezra_fashion01
FEZRA FASHION :
Laki tatu juma laki mbili na nusu paula asante😂😂😂😂
2026-08-05 08:07:11
0
sister.p__
pili :
mpaka kinena kimenicheza
2026-08-04 15:38:34
1
hawa.rajabu84
hawa rajabu :
laik 10 za paul 9 za jum lokole lakii 100 dad ang zuhuraa
2026-08-05 20:24:04
0
munta_04
MUNTA:KZ🏈 :
aaaa lile tukio la katoro nakuja kuliona tena apa kwa mtoto wa zuchu
2026-08-05 14:39:53
0
To see more videos from user @wasafi_media, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About