@sokonidar: Bei ya jumla ya kitunguu maji kwa sasa, kwa kilo sokoni ni Tsh 1,500/=, gunia ya kilo 100 inauzwa kati ya Tsh 130,000 mpaka 110,000 kutegemea ubora wa kitunguu karibu sana sokoni Jirani yetu, tufanye biashara #kilimoniajira #kilimobiashara #congolesetiktok #kenyantiktok🇰🇪 #tanzaniantiktok🇹🇿