Kama Unaamini Hii Ndo Hali Halisi Ya Sisi Mijikenda Gonga Like Ukisonga 💙💪
2026-08-04 12:42:01
500
Thoya Riziki :
this is really giriama life especially kama umezaa nyumbani... keep it up for a good content
2026-08-04 09:52:01
87
Tuva :
nimetoa machozi... nilidharauliwa hivyo sai wanatamani niwe karibu nao ila hawawezi😭😭😭😭😭😭
2026-08-05 06:28:46
77
maryam💓💓💓💓💓 :
I wish my brother could see these tunatengwa Sana kwa familia
2026-08-04 12:50:01
16
mapenziswit :
ningecomment ila najua ndungu zangu wataona😭
2026-08-04 12:26:23
26
Vanessah :
😂😂😂ye mameye atu ati andakoroga😂😂😂😂😂😂nimeisha
2026-08-04 08:36:44
22
abdhulrahman :
cjai comment kwa content za Ruby ilaa kwa hili limeniumiza sanaa...
2026-08-04 13:08:42
34
stevebassist3 :
waaah real life manze 👊🏿👊🏿
2026-08-04 13:06:35
10
vkazung :
na ata maybe alisaidia pakubwa kusomesha wengine especially firstborn
2026-08-04 20:17:10
20
Swabra Neema :
content to its maturity 👌 great dada
2026-08-04 18:30:20
13
black kenyan :
hewaaaaa hali ndio hii nilio pitia ..wakati huo nilikua nimezalia nyumbani kudharauliwa Alf sikua na kitu ..wakati huo nililia....ila Leo hii Mimi ndo kusema hapo kwetu bila Mimi hakuna kitu kinaezwa Fanywa....hii sio content ni realy life hukoo kwetu coast
2026-08-05 00:05:55
23
junyjuny :
huyu mama kwa kweli yuko perfect 👌 🥰
2026-08-04 17:40:35
12
💞Mrs Athman 🥰🥰 :
Hivi vitu vyafanyika saana
2026-08-04 14:20:15
8
Kambi Jr :
the true reflection of our African families, iko na mafunzo mazuri sana hii kazi nzuri wadau
2026-08-04 09:30:18
11
MMshee :
I wish naeza eka the entire video kwa status niongeze volume. Sadly this is 90% of our families kwanza mijikenda. Mungu nae huja akaonyesha nguvu ya asieye pesa, parents hukua bed ridden and wenye pesa wako busy with business and work na yule asiye pesa ndio hubakia kuuguza mzazi wake mpaka muikeni ipha🥺
2026-08-06 09:54:24
7
queen mother :
tujikaze kutafuta pesa jameni alicho fanyiwa kache cvzuri
2026-08-04 18:07:22
10
Kandindo JnR :
Huu ndo uhalisia wa maisha, kama huna pesa ama hukusoma unaonekana huna usaidizi wowote kwenye familia ,big up sana dadangu
2026-08-04 15:03:26
9
Millo254🇰🇪 :
iko siku ....thats is strong kache🙏🙏
2026-08-04 10:46:01
6
Benjamin karani :
hii nmependa Iko xawa🤝🤝🤝
2026-08-04 09:46:16
6
AttraCtion🇰🇪🇩🇪 :
The accuracy in this script 🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥👏🏾👏🏾👏🏾👏🏾👏🏾👏🏾👏🏾
2026-08-11 06:12:08
0
HUNTER DIMPOZ✨ :
cjui kwann naskia kulia 😭😭😭😭
2026-08-17 18:58:30
2
mr left :
tujifunze hapa tulio vizuri mifukoni
2026-08-30 11:16:17
1
Mvuko janja boy :
Ama kweli hapa mmeact kitu yenye iko real kwa maisha yetu
2026-08-04 19:04:24
4
Miss Raj💞💕 :
Hiii n ukweli haya mmb kwa familia yko kabsa 😭😢
2026-08-06 05:25:40
3
To see more videos from user @nyangara10, please go to the Tikwm
homepage.