mungu awape nguvu na amani awabariki kila hatua 🤲🤲🤲🤲🤲 yanga simchezo bhana yanga bingwaaaaa💚💚💚💚💚💚💚
2026-08-04 08:50:49
3
idrissamohamed16 :
Yanga Hoyeeeee
Mwakani Tena
2026-08-04 09:54:39
3
Chotara Tutsi :
cha ajabu Wanasimba ndio wamejaaaaaa karibuni sie hatuna ubaguziiiiiiiiii
2026-08-04 10:05:41
1
Karagwe finest tz, :
🤣🤣 naisi fulaah kubwa san nadani ya moyo wangu nikiiona timu yangu ninayo ipenda inaishi katika zama zakisasa.zaidi kwapamoja tuseme yanga bingwaaaaaa,, mungu ibaliki yanga mungu ibaliki Tanzaia Ameen,
2026-08-04 09:21:39
2
temi enock :
wataniiiiiiiiiiiiiiiiiiiii
2026-08-04 09:07:21
1
6nley maige :
mwamba wangu Depu mbona sijamuona ameachwa au 🥹😥
2026-08-04 09:21:56
1
BRK.NGELA :
@BRK.NGELA:unasema mapenzi raha
IVI USHAWAHI KUMFUNGA SIMBA MARA 5 MFULULIZO