uyo ni mimi yaan kama upo na unaniona nateseka sana mwalimu sijui nitajinasuaje
2026-08-04 20:29:31
7
mariamaden609 :
mmmh ngoja ninyamaze mie
2026-08-04 12:02:54
7
nancymhina8 :
baba hakuna kutukamnwa hapaaa huo ndy ukweliii ishi sana we kakaaaa Mungu azidi kukuinua kiroho na kimwilii
2026-08-04 10:39:57
10
Saidat :
nataman nitoe ushuhuda daah hatare
2026-08-04 09:56:36
4
brendaomondi328 :
Nimeona hapa kwetu
2026-08-06 04:20:18
1
user1826073800733kaingu :
good job
2026-08-07 14:29:40
0
salmamor :
ni kweli asaa
2026-08-04 13:38:00
2
FAIDHA HAROUN :
umesema ukweli mtupu anaebisha hayajamkuta
2026-08-04 16:52:55
3
Blest :
I agree brother… I have been it. I married a son of a witch.. I have experienced
2026-08-06 01:33:52
2
laty nihan :
natamani kupiga kelele unavosema haya maneno.kiukweli tushachokaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa
2026-08-04 09:10:24
8
justinenshombo0 :
Kweli iyo
2026-08-04 23:45:48
2
Caroline Nyakeo :
mi atasijui kama alikua mchawi ama mganga..but tulikua twapigana usiku na mchana..nilikua muombaji sana...na alie nipiga vita sana ni mme wangu na alikua maisha yake ilikua tu haina msingi yoyote ni shida tupu..nikajaribu kumsaidia ajitenganishe hataki..mwishowe ananipigqnisha na kila mtu...
2026-08-06 13:39:39
0
dativa :
mh
2026-08-04 09:31:47
1
Mrs E :
Umeongea point
2026-08-04 21:05:17
5
Barbie :
Maneno pekeake hayatoshi kuelezea juu ya msaada unaotupatia kwenye mafunzo yako kwasababu wengi wao tuna yaishi haya maisha Allah akujalie afya bora na azidi kukua ulinzi kwasababu bado kuna tunaokuhitaji.❤️🙏
2026-08-04 18:12:32
2
Joelkipenyo Zimwi :
𝗦𝗮𝗵𝗶𝗵𝗶 𝘀𝗮𝗻𝗮
2026-08-06 14:35:29
0
top1 :
ukweli kabsa..hiyo kitu uwanga naiona hapa Kenya.
2026-08-04 11:46:35
5
dear :
True
2026-08-04 13:09:22
4
user85779565005245 :
mungu tusaidie
2026-08-05 11:33:32
1
Cate wavinya :
ukweli kabisa
2026-08-05 11:02:16
1
sesi :
exactly
2026-08-04 13:45:27
4
mama stv :
sikutukani hata kidogo
2026-08-04 14:58:47
3
Rashidi Twaha :
allahu akbaru tumekwisha ila mungu yupo na nimakubwa kuliko chochote tutegemee atatunusuru inshallah😂😂😂😂
2026-08-04 10:44:02
1
To see more videos from user @minded_tips, please go to the Tikwm
homepage.