Ukweli kabisa I respect only you and Songa Songa lakini hao wengine ni kutafuta pesa
2026-08-04 10:13:43
5
Gee money :
bro Janeko umesema ukweli kabisa....ni ujinga Iko apo ..wakitaka waende uko kw Ruto kama wanataka pesa waache ujinga....nikama wamelipwa waaribie Sifuna jina ..next rally utume number ntakuekea fare bro#sisi ndo Sifuna
2026-08-04 08:46:22
6
johnvowsanyika :
kweli hii ya jacaranda imebeba extonsionists tu
2026-08-04 10:36:35
1
poka :
Bunge la mwananchi haitakiwi watu njaa,needs minded people