@esko_donald: Changamoto kubwa kwenye kazi hii ya kuokota makopo kwa mzee Mdoe anasema ni kutembea umbali mrefu. #TheUmbrella Furaha yetu ni kuona Wanafurahi! Unaweza kumgusa mzee Mdoe kupitia 0691337252 (Extravery Urassa), Airtel

Esko Donald
Esko Donald
Open In TikTok:
Region: TZ
Tuesday 04 August 2026 08:43:47 GMT
117097
8122
283
115

Music

Download

Comments

ge333nssy
Ge333nssy :
alf mzee bado handsome saaana
2026-08-05 09:59:07
0
meenamtz
Minash💰🔐 :
Daaah!!! Silalamiki tena 😔🙌🏻mungu nisamehe
2026-08-04 09:21:29
226
malkondomba777
maiko mizozo :
af Kuna mdada Nampa 10000 ya matumiz Kwa sk na Bado anasema haitosh😊
2026-08-04 17:23:21
21
nyamanze_
Nyamanze_ :
Kama kuna uwezo jaman tumsaidie mzee apate chochote kitu hata imsaidie daahh
2026-08-04 09:27:35
101
kim_de_og
Kim_De🥀 :
Yaaraby😭
2026-08-04 21:44:43
0
emma_jr8
emma_jr8 :
Ee mungu nimekuomba vingi, ila kabla yakunijibu ,jibu kila hitaji la huyu mzee!😌😌😌😔
2026-08-04 09:56:14
71
castrol.the.jacka
Castrol the jackal :
Kama Kuna uwezekano tumchangie na huyu baba yetu awe na maisha mazuri , kwa sababu furaha na shukrani zake ndo mafanikio yetu
2026-08-04 10:07:32
20
kevoo460
Kevoo@master👣 :
2026-08-04 20:29:48
8
user542540593334
cosmas :
jamani wale walio pereka zawadi kwa wema na zuchu, hebu hii iwaguse pia, maana nimeona mnamwaga mamilion mwageni hata laki tu inatosha kwa mzee wetu..
2026-08-04 10:25:40
14
herieth.shirima8
Mom 👭🧍‍♀️kids 😘🙏 :
Ata sijui nalia nini😭😭elf4
2026-08-04 09:51:56
16
recho.goda
Recho Goda :
kumbe bado ila maisha tuuu
2026-08-04 08:51:37
18
halimaissa5281
🩷🩷Ukhty halima❤️❤️ :
anaumuri wababa yangu lakini kazeeka baba yangu anaonekana kijana subuhana yarabi waone waja wako wafungulie riziki kila siku yarabi usiwai wanyima warudishie tabasamu pia
2026-08-04 09:41:33
38
putin1234557
Tonney :
TUMCHANGIE JMN🥺
2026-08-05 05:41:13
0
jessy__002
jessy__002 :
Daah aseee maisha haya🙌🏽ata sio mzee ni changamoto tu za maisha
2026-08-04 18:55:18
7
mosesrobert662
marine :
Imagine mtu anapata 4000 Anatunza 2000 Dahh wanaume sisi ni shida unakuta kijana anaenda night club mpaka asubuhi anamaliza Zaidi ya laki 2 Dahh😢😢
2026-08-05 10:24:48
0
dr.ummy1
Mrs. Aboubakary♥️♥️ :
Kama kuna siku nlilia maisha magumu mm ambae nina uwezo wakula birian wakat wenzangu ata kununua muhogo wa shilling mia ni mtihani basi Allah nisamehe🥺🥺🥺tunaomba namba ya mchango kwa huyu mzee tutoe tulichojaaliwa nmelia sana nmeona kama ni mzazi wangu tu🥺🥺.
2026-08-05 04:02:34
5
mariarugumba
patmolyssa👑 :
moyo wangu umeniuma sana natamani na mimi Mungu anipe uwezo nisaidie watu...😔
2026-08-04 09:49:11
9
mwlchama
EL_SHADAI🫶 :
kaka hakika Mungu hakukupa tu macho ya nyama, bali na macho ya rohoni pia daah🥲🧎🙏
2026-08-04 08:48:04
8
user1573385388599
mishi dullah :
mungu atuongoze tupate rizik ujanani
2026-08-04 19:59:43
2
emmy08485
Emmy :
Mdogo wng kabisaaa Mungu akutunze na kukubariki ktk kipato na kher kwa kila jambo baba yng🙏
2026-08-04 10:33:34
1
badessty.girl
badessty girl :
lkn kuna myoto wa zuchu huko ana bilioni saiv
2026-08-04 20:07:35
0
mr.nomadicboy
Nomadic boy :
Na bado watu wanampa diamond hela
2026-08-04 19:42:41
4
official_josline
Josline ♥️🫧 :
Tumshukuru Mungu kwa kila kitu 🙏😔😢
2026-08-04 11:58:35
2
abuushiraziy618
shiraziy :
watu wasema ukijiona una shida kuna wenzako wanashida zaid
2026-08-04 09:39:41
3
naaj674
Da mwana :
Hapana shaka tutakujaribuni kwa chembe ya khofu, na njaa, na upungufu wa mali.SURAH AL BAQARAH 2(155:156) Allah atupe subra Amiiiiiiin😥😥😥
2026-08-04 15:21:53
5
To see more videos from user @esko_donald, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About