Biblia yenyewe kwa kuwa ilitungwa tu, lazima mchanganyikiwe. Na na bado itawachanganya.
2026-08-04 17:59:41
5
Kabera olivier :
Mungu hafi ila katika mwili anakufa..
2026-08-04 19:26:05
1
JAPHARI :
Alhamdulillah kwa neema ya uislamu. kila mmoja atasilimu kwa muda wake
2026-08-04 19:08:35
12
Wise Daddy:🌹Dialogues :
Nachanganyikiwa mie. 🥺🥺🥺🥺
2026-08-05 08:28:21
0
Samir Samir :
Shida n kuwa bibilia n nyingi sasa lazima ziwakoroge coz walio andika n wengi kila mtu aliandika kitu chake
2026-08-05 08:46:49
5
Pastor Mbunda :
Ndacha ameingiwa na nini jamani!!?
2026-08-04 15:52:32
7
Emma Emmanuel :
alimloga ndacha aisee ukumu itamfikia maana majibu ya mwankemwa yanajitosheleza kabisa ata waislam wanaelewa
2026-08-05 21:15:51
0
khamisi falaki :
ndacha yuko sahihi
2026-08-04 16:32:49
6
Emperor👑👑 :
Ndacha anaforce ionekane watu wa utatu waonekane wanaamin kuna mungu wa tatu kitu ambacho hata watu wa utatu hawakubalian nacho wanaamin mungu ni mmoja ila katika nafsi tatu
2026-08-06 13:34:38
0
MWANGI'S :
mm ni mkristo lakni ndacha ajielewi
2026-08-05 17:12:52
0
Pastor Mbunda :
maswali ya ndacha ni ya kupinga kristo na hawezi kugeuka hapo ameamua kuwa mpinga kristo moja kwa moja
2026-08-04 18:05:11
4
mokiwa :
Dah ifike hatua tuseme profesa mazinge na Dr sure walifanya kazi kubwa sana kuminyana na ndacha sasa hivi wao wamepumzika wanaminyana wenyewe kwa wenyewe
2026-08-05 18:55:48
3
Weldy Brian :
Kama Mungu ni Baba, Mwana na Roho. Swali ni je,
1. Bana anawezaongea na Mwana, ikiwa ndivyo kumaanisha anajiongelesha ama?
2. Tukienda Mbiguni tutaona wangapi? Mungu ambaye ni (Baba, Mwana na Roho) ama Mungu kando na Yesu kando.
2026-08-04 18:00:19
1
Bible schools :
ndacha alieko na alikueko na atakae kuja ni yesu si mwenyez mungu mungu mwenyez hatakuja kuhukumu ila hukumu yote amempa mwana
2026-08-05 16:08:30
1
To see more videos from user @_medhod, please go to the Tikwm
homepage.