shida nimoja kipenz watu hawataki kukuona wewe wanataka kuona bidhaa mimi nimekaguwa account yako ninyie t mnaongea watu hawataki maneno watu hawako sawa post bidhaa maneno kidogo
2026-09-24 02:19:11
2
fatuma abdallah :
uwo mti nilikuwa naona upo karibu kumbe upo mbali jamani 😁
2026-09-24 09:58:39
1
zinchenko :
tembea haraka bc unatumalizia bando wengine atutumiii wifi
2026-08-04 13:33:39
16
bint mati :
uwo muarobaini msiukate jamani mana ndio utambulisho wangu
2026-08-05 07:11:53
5
MPENDWA WA BWANA :
safi sana siuliz Tena maana kkoo kuuliza buku
2026-08-04 13:27:13
6
mpombo17 :
je wakikata uo mti c nmepotea
2026-08-06 10:47:32
0
SIAFU :
kaka nimefika hapo jana na nimechukua viatu
2026-08-08 06:21:00
1
@Rahma :
frank
2026-09-16 18:25:49
0
Bush bby :
maana yake mmechoka kuulizwa moo wapi na mnataka mteja aje