@ngwanasato: #creatorsearchinsights #tiktoktanzania🇹🇿 #12billionlikes

ng'wanasato
ng'wanasato
Open In TikTok:
Region: TZ
Tuesday 04 August 2026 09:16:40 GMT
103766
2807
401
100

Music

Download

Comments

king_peter40
Peter Mwigulu👑 :
Hii wap?
2026-08-04 21:03:51
0
legend.kibopa
Legend Kibopa :
pole san bro ila one day 🙏🙏
2026-08-04 12:04:34
0
victormwangaya
victormwangaya :
Harafu ndio mnasema huyo mwenye pikipiki asiwachuie hao watu! 😳
2026-08-04 15:26:53
42
giftjohnstone
giftjohnstone :
hapo mgambo ndio anajikutaga kama IGP
2026-08-04 15:44:31
65
nsajigweuneapa
Nsajigwe une appa :
what is this
2026-08-04 18:39:38
0
issampanye
Issa Mpanye :
kama alicho beba sio haramu basi police wetu walicho fanya sio sawa
2026-08-04 17:36:30
7
nyabi_mine
Nyabi_mine :
police acheni uonevu jamani 😳😳😳😳😳😳😳😳
2026-08-04 17:22:27
3
raphael.stephen07g
Raphael stephen07@gmai :
aisee mkoa ngan hii please naomba
2026-08-04 11:47:40
5
costantine77
KITEMBE JR :
saivi nikudili nao kishirikina atuachii tena mungu nikudili nao kinyumbani
2026-08-04 16:14:11
12
mosesbony
Moses👑🦅 :
Hata polisi nao wanajichukulia sheria mkononi dah😔
2026-08-04 20:54:33
3
daudimasunga283
Daudi Masunga :
wakumbuke icho cheo nidhamana tu imeniuma kuutupa mzigo mtaron lakn nampa polee kaka
2026-08-04 11:10:15
6
user9285610390035
St.Gisbart :
tuwapende polisi wetu katika hali yoyote.
2026-08-04 15:28:31
1
priskalyimo
Priska Lyimo :
kama shida ni piki piki kwa nini watupe mzigo kwenye mtaro ni shiria ipi hiyo inamuelekeza police kufanya hichi alichofanya 😭😭wanatakiwa kujua Kuna maisha baada ya kazi na wengi wanaishi mitaani na huku mitaani wanaishi na watu Hawa Hawa wanaowafanyia hivi ni uonevu huu haukubaliki
2026-08-04 18:28:16
2
innocentthoms
innocent :
kwa mazingira hayo, hapo kuna msafara wa kiongozi mkubwa anapita, nadhan huyo jamaa itakua aliambiwa asimame au apaki pemben akaforce kupita, mwisho wakamtia adabu kwa style hiyo, huu ni mtazamo wng tu.
2026-08-04 18:15:15
2
shafii.i67
True love never die :
Aisee nimeumia sana mungu atakulipia ndo mitohaninya kiumeni
2026-08-04 12:21:24
0
hellen.george887
Mrs Brayan shelembi👫♥️💯🫂 :
Unakuta kaacha familia yake haina hata chochote jmn dah! inauma sana
2026-08-04 18:13:59
4
waziriitambu
waziriitambu :
hawa ndio wasimamia haki watz kweli hatup huru tz
2026-08-04 16:27:23
0
sadam.issa97
Sadam Issa :
kwann ni kitu gani hicho gunia za nn
2026-08-04 15:25:29
0
mattarstore
mattarstore :
mimi simuachii Mungu nakuroga labda nipate mganga tapeli
2026-08-04 21:26:18
1
emanuelmrema8
Emanuel Mrem :
ndo polis wetu jmn ila ipo ck watajbu mbele za mungu,wakati huo cheo chao hakitowasaidia
2026-08-04 12:20:13
1
dktbernard
Dkt Bernard :
askari na raia ni marafiki
2026-08-04 12:16:01
3
josephkulwa923
josephkulwa923 :
some time maasikari mnajireteleza kijiweka tofauti na jamii asa mtu hatakama anamakosa ndo mpk mzigo wake mnaufanya vile kweli ?jaman mkumbuke kazi ni dhamana pia dunia duara unaweza kumuona mtu Leo sichichote kesho anaweza kuwa msaada kwako kwanamna moja ama nyingne
2026-08-04 17:22:10
3
user2355637188039
user2355637188039 :
hapa itakua NKOLOLO bariadi au vp jmn
2026-08-04 12:01:43
1
brownjames93
brown :
mungu tupe moyo wahuluma sisi sote tunapita tupendaneni
2026-08-04 15:24:58
2
dickisonidickiso4
Dickisoni Dickisoni :
kwanza tujue kosa kakosa nini
2026-08-04 17:39:09
0
To see more videos from user @ngwanasato, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About