@shoshhack1: 😳 Acha kufanya hii kama kichwa chako kinawasha! Badala yake, tumia aloe vera (mshubiri) hivi👇 Paka gel yake moja kwa moja kichwani Subiri dakika 10 kisha osha Kuwasha na dandruff zinaanza kupungua haraka sana 🔥 Ulikuwa unafanya makosa hii? Niambie kwa comment 👇 #haircare #dandruff #urembo #naturalremedy #fyp
The Shosh🌿
Region: QA
Tuesday 04 August 2026 09:18:48 GMT
Music
Download
Comments
wayne12 :
Dawa ya H.hylori
2026-08-27 22:45:16
2
zenaalmasi545 :
asant
2026-08-06 07:39:55
2
mouriec0 otieno :
Na dawa ya mapenzi kwa yule unamtaka kwa maisha yako
2026-08-04 14:39:18
6
lenah stylist 💞💞 :
tuletee za kurudisha periods kama zimepoa sana
2026-08-30 07:13:29
2
hawa uluka 70 :
ndio stimini yangu ya nywele
2026-08-05 19:59:47
1
CATHERINE GIDALI :
Asanteni
2026-08-21 05:34:14
1
nenenzigire :
Asante kwa mafundisha
2026-08-13 22:55:34
1
rosette 🏵 :
iyi nikweli kabisa
2026-08-08 22:15:14
2
user17548595246058 :
next
2026-08-26 19:05:46
1
julie :
abari
2026-08-05 11:26:32
2
lameck :
na mgongo inaniuma Sana na tumbo dawa ni nn
2026-08-04 12:28:17
3
Tiktok criador :
sawa
2026-08-08 06:46:09
2
kienyeji mkamba ✌️ :
na nywele haitakatika
2026-08-06 09:48:57
0
irenerachel927 :
asante
2026-09-06 09:19:33
0
mariamharuni97 :
mm ninamba inasaidia?
2026-08-07 08:05:09
1
Recho Fanuel :
Asante sana nateseka
2026-08-31 12:03:00
0
queeen :
mi ndio kinawasha zaidi
2026-08-13 21:31:04
0
julie :
bien
2026-08-05 11:27:28
2
ngoy floribert :
merci beaucoup maman
2026-09-27 13:59:46
0
YUSUF MAPESA :
Mimi nilidhani ni changu pekee huwa kinawasha, shukran sana shish🙏🙏
2026-08-21 17:59:50
1
Edith's🙈🙈 :
ukishapak unaosha au
2026-08-21 17:53:14
0
kissy :
mngogo mum
2026-08-06 13:42:34
2
JANET FRANCIS :
inameeza ywele??
2026-08-06 18:54:58
1
mohamedsalum393 :
dawa ya bawasiri bibi
2026-08-06 07:51:10
1
mwanaidiadam408 :
mba(ukoko) pia inasaidia
2026-08-06 09:32:45
1
To see more videos from user @shoshhack1, please go to the Tikwm
homepage.
© 2021-2026 TikWM. All rights reserved.