@money_empress22: Nani unamjua mwenye hii tabiaa... Au n wemwenyewe?? 😂😂😂😂😂🤔🤔🤔🫵🫵🫵 #trendingsound#goviraltiktok♥️#tiktoktanzania🇹🇿#money_empress22#foryou
Huyo ni mume wangu hadi namuogopa asije siku akanichinja😂😂
2026-08-04 15:35:28
8
Miss mary :
ndo nipo level hyo saiv
2026-08-04 11:37:37
4
robiiiiiii :
uyo ni mimi
2026-08-04 15:15:42
1
🌎💕💕 :
😂😂😂acha nijitaje mwenyewe ,🙌🏾na tunakuaga na hasira kali sana mtuogopee kbsa
2026-08-04 10:20:52
10
Mrs pwidu💍❤️ :
Yaan ni mim mwenywe 😂
2026-08-04 12:44:01
2
♏💜🤎 :
na tukirudisha kisasi utajuta😂😂
2026-08-04 11:24:31
2
cailola❤️🦋 :
ni mm mwenyewe 😂😂😂😂 usiwaze yameisha
2026-08-04 12:48:01
2
Kijanamdogo_28 :
nakuomba na samahani kabisa boss wangu
2026-08-04 13:08:22
2
@unique 💃💃❤️❤️ :
kuna mmoja huyo alitaka kuharibu ugali wangu nikajua na skuwahi kumwambia chochote na akija namhudumia 😂😂😂
2026-08-04 12:07:40
4
shelbey :
uyo ni mim kabisaa yan 😂😂kun jamaa alitag kulia baad y kuslibu bike yang kifaa cha laki n nusu nika mwambia ucwaze fund wangu daah jamaa akawa ananiogp nik enda geregi anakimbia 😂😂😂
2026-08-04 16:18:31
2
shasimo❤️ :
mm huo wema sina wema nalipa ubaya nalipa😂😂
2026-08-04 12:52:29
2
CALVIN :
Usiwaze kabisa limeisha Hilo ndg yangu😂😂😂 one day utajutia kuweni makini
2026-08-04 12:03:46
2
Vero🐬 :
Huyo ni mimi nilijua ubaya na mtu na ametambua nimejua na nikaendelea pale tulipoishia ila nahisi Alipo sasa anajuta kunifahamu kwenye maisha yake nyambisi mkubwa yule....🤗🤗🤗🤗🤗🤗
2026-08-04 20:21:31
0
JORDAN TECH ELECTRONICS :
😂😂😂😂😂😂
2026-08-04 12:48:17
1
Nuru Mkumba :
😂😅
2026-08-04 11:18:50
1
MOMORECIOUZ :
😂😂😂
2026-08-04 16:49:54
1
official_monner :
@Gee🌸
2026-08-04 12:11:20
0
🎀itc____.-zouh🎀 :
@precious girl ❤️🥹 😂😂😂
2026-08-04 17:42:17
1
Mom_S❤🦋 :
😂😂
2026-08-04 20:28:46
0
To see more videos from user @money_empress22, please go to the Tikwm
homepage.