2020 I was at kakamenga prison 😥hii life Wacha tu😭😭😭
2026-09-07 16:11:05
0
nya💕su💕guta💕💕 :
huku ni wapi nilete mother-in-law
2026-08-17 16:19:54
33
georgina :
mbona wanakula chakula mingi sana
2026-08-04 12:37:01
17
Sandyz🥰🥰 :
The different between prison na marriage i think ni uniform
2026-08-18 14:20:20
8
boncheZ :
na mlikuwa mnatudanganya aty jela hakuna chakula
2026-08-04 11:39:08
7
Bartingei4 :
connection ya uko n gani
2026-08-21 03:01:45
3
user1348881655408 :
wwe unaweza skia aji kama niwwe
2026-08-16 17:36:37
3
Socha Nyaata :
Nawaopea mema watu wa prison in Jesus Name.
2026-08-06 20:34:13
3
cess tinnah :
😭😭iyo life ihave experience ni hard
2026-08-18 17:19:55
2
Boniface kiarie55 :
weh,wangapi wanajua rada ya prison,heshimu hesabu na maombi,usukume number, not easy at all
2026-08-17 09:19:39
3
Erico chemalmokit :
I was once there not easy at all, taking supper at 2pm
2026-08-20 10:27:48
2
Dennoh county 001 :
mungu waurumie awa watoke jera 🙏🙏🙏🙏
2026-08-15 22:11:12
1
johnmwita773 :
pole San Kaka zangu
2026-08-16 06:28:38
1
frederickotieno22 :
uzuri huku hakuna kuinama
2026-08-19 10:35:28
4
RUTH MWENDWA :
ukweli brothers
2026-08-16 05:07:18
2
KP,,,Classic :
Duuh tumuombe allah tuliobaki ulaiyan tuishi vyema na watu pia allah awajalie walioko gerezan watolewe kwa harak pia wasamehewe makosa yao inaumasana sisi sote n ndgu∛»▶✓㋥彡✓»
2026-09-04 07:53:33
1
Kennedoh :
io story ya kukamba n mululu nmereform na nkarudy fom
2026-08-18 17:32:14
2
philip mpole :
difference ya jela Na Shule ,,nikiwa Shule wanahome
2026-08-17 16:31:23
3
The Unstoppable@ :
alafu ukiona awo wanakula vizuri majamaa walishaga kata tamaa nikiwango wanajua God saana nakujua kuishi na watu zaidi ya wengi wanakaa rahia hakika
2026-08-20 05:21:11
1
Lydia Kagendo :
mungu amjalie brothers pia mm nilikua hapo nikatomboa
2026-08-23 14:49:09
1
mwaalabu mweusi :
legends hiyo sufuria inaitwa aje🤔🤔🤔🤔
2026-08-20 18:37:36
1
simplicity :
beb nakuombea utarudi nimekuekea agano nilikua nalo nawe siwezi vunja jikaze utamaliza nashukuru hua una shre video zenu kwa acc yangu salimia afande mogaka🙏🙏🙏
2026-08-20 21:44:09
3
kad go :
hawa Newcastle gereza Lao la wapi
2026-08-21 09:25:56
2
EVERLYNE AKINYI :
👏
2026-08-10 13:06:30
1
Mr.Bee :
Mungu usiwai kubali nirudi kwa hii life😏😳
2026-08-18 20:39:32
3
To see more videos from user @maisha_ya_jela, please go to the Tikwm
homepage.