Pamelah Mbona unatuharibia sahani za nini tena 😂😂🫴🏽
2026-08-04 10:35:26
65
mastercollectiontz :
Kumbe zipo za hasara na hamsemi 😂😂😂
2026-08-04 11:31:45
38
Gmk Company ltd :
let's go
2026-08-05 05:51:09
1
Nonoo🤍✨ :
Dah m mwnyw jana nlijiongeza mungu nisamehe 🥺
2026-08-05 07:26:20
10
kagito :
kumbe,, za kwetu Huwa mnazidisha😅😅
2026-08-04 10:46:49
15
Rashidy sultany :
ata sio zambi kumbe nizetu
2026-08-05 16:58:17
1
Mom🍎Nah🔐💦 :
Kwanini unatoa siri lakini Mdogo ang😂😂
2026-08-04 14:14:07
6
Mwaj Chilloh :
kumbe atuibi tumewekewa zetu kabisa😂
2026-08-05 08:14:19
4
Angel Bae Tz :
Dah🥹 tuachen wizi watu wanapata hasara
2026-08-05 09:19:47
5
Kimario's daughter 🌸 :
wema huo hatuna😂😂😂
2026-08-05 05:22:34
5
R.M.B. Cocktails🍹🍸🥤 :
ila watu wana zambi sana
2026-08-05 08:53:55
0
_Romr¥🎀🌸🥥🫧 :
Sahani za nin tena jaman😂😂😂
2026-08-05 08:22:29
0
batro_zee. :
kumbe tumewekewa budget yetu kabisa wez wote kuja apa.
2026-08-05 12:55:01
2
baby chawe🖤 :
haswaa Hawa wanafunzi washuleee
2026-08-05 11:29:18
0
it’s me :
kumbe mmetutengea tear basi ngoja tuendeleeee😂
2026-08-05 13:05:26
1
Captain#isco :
kumbe mnatuitaga MAU MAU sisi wazee wa kazi
2026-08-05 16:03:09
1
Ms.Roselyne 🦋💙 :
Mimi Nitakula kumi tuh za Hasara Kila siku😹😹😹😹
2026-08-05 07:16:18
2
_JAFOSIE FX⭐✨ nho :
inaitwa kazi na imani
2026-08-04 11:30:11
2
No risk No story :
Daaaaahh sema wanangu Kuna dhuluma nyingine tuacheni aseee watu wanatafuta rizki Kwa tabu ila mtu unafurahia kabisa kumfanyia mwenzio udanganyifu daaahh sema haya maisha tu halafu Kuna mijitu inajisifu kabisa daaaahhh tunadilikeni aseee🙏🤔
2026-08-05 12:59:47
1
ki mamy nah :
basss kumbe nij namm
2026-08-04 12:05:24
1
To see more videos from user @officiallypam79, please go to the Tikwm
homepage.