@kidege_: Au nyie mnaonaje ๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚ #kidege #kidegecomedies #kidegechallenge

Kidege
Kidege
Open In TikTok:
Region: TZ
Tuesday 04 August 2026 10:21:36 GMT
179387
25642
815
473

Music

Download

Comments

seylmour18
Seylmour๐Ÿ˜Œ :
kidege ww utakuwa rang gn ?๐Ÿ˜‚
2026-08-04 10:39:54
65
babehappy04
๐Ÿฅ€Babe happ โšก๐Ÿค :
nyie mnachukulia utan mwenzak analia kweli ๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚
2026-08-04 13:34:24
93
shazy0958
๐Ÿฆ‹shazyactress ๐Ÿฆ‹๐ŸŒ€ :
unaeza dhan ni comedy kumbe really ๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚
2026-08-04 12:51:10
4
lonikaaloice
Nicah babeโœจโœจ :
๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚ daaaaah htr hii๐Ÿ™Œ
2026-08-04 18:47:48
0
stoms.bad
STOMS BAD๐Ÿ’ฅ๐Ÿ’ฅ :
big up broooh๐Ÿ˜‚
2026-08-04 18:03:04
0
veephin24
veephin24 :
Yaan leo umeongea point nataman hat kutum voice note๐Ÿ˜ญ๐Ÿ˜ญ๐Ÿ˜ญ
2026-08-04 17:25:44
0
user790282218176
demy๐ŸŽ–slow but sure๐Ÿ˜ญ๐Ÿ˜ญ :
tangia nikujue leo ndo umeongea point
2026-08-04 13:08:57
23
user4143391250553
Tonny_breezy :
2026-08-04 11:54:42
7
mis_dorah
mis_dorah :
MBONA MIMI SIFIKISHWAGI KILELENI JAMANI ๐Ÿฅบ
2026-08-04 12:41:01
20
emanuel95920
EMANUEL :
big blue
2026-08-04 14:04:10
1
distributor.45
ร›ฤ‰โดลกฬฃยฒโดโธ :
10/10
2026-08-04 10:42:47
3
kaulakii_
mrs tembo๐Ÿ˜ :
kidege poooleee๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚
2026-08-04 19:07:16
0
abuukifumbe
abuu kifumbe :
ninachojaribu kusema ndugu yangu kidege njooo tulime tu katavi yetu imenoga mapenzi yanavukuga sana
2026-08-04 11:15:39
25
melvinlindah
lindah :
hakuna kitu kinauma kama kushika mimba yenye hukuwai sikia utamu aiseeeeee ๐Ÿ˜ญ๐Ÿ’”
2026-08-04 14:55:13
20
officiallrick
Edu John :
๐‡๐š๐ฅ๐š๐Ÿ๐ฎ ๐ฆ๐ฎ๐๐š ๐‘›๐‘–๐‘˜๐‘Ž๐‘ก๐‘–๐‘™๐‘– ๐Œ๐ง๐จ ๐‡๐š๐ฎ๐ฆ๐ฎ๐ฌ๐ฎ๐›๐ข๐ซ๐ข๐ข๐ข ๐ฆ๐ญ๐ฎ, ๐ก๐š๐ฎ๐ฆ๐ฎ๐ก๐š๐ซ๐š๐ค๐ข๐ฌ๐ก๐ข ๐ฆ๐ญ๐ฎ ๐ฐ๐š๐ฅ๐š ๐ก๐š๐ฎ๐ฆ๐›๐ž๐ฆ๐›๐ž๐ฅ๐ž๐ณ
2026-08-04 10:44:05
5
kb.boy.g
KB boy G๐Ÿ’ฅ๐Ÿ”ฅ๐Ÿ’€ :
wakwanza leo kutoka 254 kenya๐Ÿคœ๐Ÿค›๐Ÿคž
2026-08-04 10:28:15
8
meddybombey2
Meddybombey๐Ÿ˜œ :
10/10
2026-08-04 13:18:43
1
jacksonzakaria449
XCOPER THE BOY{ZQ}๐Ÿ’ฏ :
anaeza akawa hana mapenz ya kwel kwako kumbe ana mwangne anayempa ayo ya kwel broo๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ
2026-08-04 11:02:02
6
axher11
axher@user๐Ÿ€โ˜˜๏ธ :
10/10
2026-08-04 17:09:43
0
vianer.viellay
Vianer Viellay :
alaf kidege usituone ka ma watoto
2026-08-04 13:48:52
1
mr_plan88
๐Ÿ’ซMR PLAN B๐Ÿฆทโœจ :
Mi kwa mtazamo wangu, na maoni yangu, nadhani inabidi niweke sawa kwamba kwa maneno machache sana niseme mimi kama mm naweza kuwa na mtazamo ambao Nitapenda kusema kuwa kwa maoni yangu naona ni vema kueleza kuwa inabidi sasa niweke sawa maelezo yangu kuwa hili suala ni ambalo kwa maoni yangu naona kuwa maneno ambayo naweza kueleza kwa ufundi sana na kutokana na mawazo yangu. Sasa nimalizie kwa kusema kuwa naona mawazo yangu ambayo yanaeleza kuwa mtazamo ambao mimi binafsi ningetamani kusema kuwa inabidi maelezo haya ambayo nayatoa ni kwamba, kwa maneno machache nieleze kuwa naweka wazi ya kwamba maoni yangu na mawazo yangu naeleza kuwa mtazamo huu ni kueleza kuwa sina la maana ndugu zangu
2026-08-04 15:34:49
3
sarahmichael217
sarah michael :
20/20
2026-08-04 16:45:57
0
lysbi5
Sarah Sarah :
pole kabisa
2026-08-04 12:59:37
1
To see more videos from user @kidege_, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About