sio ndizi tu saiv mpka vyakula tunavyokula pia vibovu
2026-08-04 20:11:46
5
madam A :
Dunia ya Sasa ukitaka kitu uhakika Bora ungetoka mwenyewe kwenda kununua ,ukikuta mtu anauza Ivo hukubali kununua
2026-08-04 11:53:12
5
polepoletz :
mnauhakika ndizi zinapigwa moto au sinawekewa majani??
2026-08-04 20:04:43
5
mamyidah3 :
na yule ndio wifi etu sio🤣
2026-08-04 11:21:13
3
Dufi :
uhakika my blood 💯
2026-08-04 19:26:57
3
zookey :
ni bora ziive kiasili halafu wauze bei ya juu kuliko ujinga huu.
2026-08-05 03:53:25
3
MOHAMMED ABEID :
ilo nikweli kk ndizi mbichi wanazipiga moto ili ziwe manjano yaani sinunui kabisaa
2026-08-04 13:51:59
3
user236876124630 :
😅😅😅 daaah pole sana bro, naona kama umenipa assist ya aibu daaah pole
2026-08-04 15:03:41
3
LIFE IS ART :
Natamani kufanya biashara ya kuleta chakula zanzibar kutokea Bara.
wazanzibari wa unguarded au pemba nitafuteni kwa
1. mahindi
2. Unga
3. Michele
4. nyama ya ngombe
5. mbuzi
6. kuku wa kienyeji
7. matunda.
2026-08-04 19:27:47
2
Mamafeiy waukweli :
Mimi hata ulaya sinunui ndizi ukila unaihisi kama changa
2026-08-05 05:57:55
2
FinT€chInve$tor :
wamekupiga wahuni sio wa2wazuri 🤣
2026-08-05 20:15:11
2
King_xixie :
not africa, Tanzania
2026-08-07 22:59:39
2
Bayser :
Dah apo kututetea kweli ni kazi bana
2026-08-05 07:04:56
2
silvia_academy1 :
Pole kaka ndo ukubwa usinune nilipijwa 4rozani Zanzibarpizza 🍕 ukanicheka sana hhhh Leo wamekupija ww na mm Leo nimefurahi hiyo ndo AFIRIKA… no Africa 😁
2026-08-04 15:08:28
2
yussufhamad :
bro hamna m2 ambae nampenda kweny tiktok km ww
2026-08-05 20:12:36
2
King Vuai🇹🇿 :
zipo ndizi nzur unazikuta ila hilo limeshanikuta ndizi kupigwa moto
2026-08-04 20:44:21
2
MKULIMA UNUNIO :
brother una haki ya kulalamika lakn sasa hv cy session ya ndizi kaka ndy maan unaona hvy kaka
2026-08-04 14:39:51
2
usompenda kaja :
Nimecheka mpk nimefariki uku
2026-08-05 05:29:37
2
Mathnasaeed :
kosa la boda boda hajakuchagulia kitu bora soko lina mavitu mengi sana bei mfuko wako tu
2026-08-04 13:26:39
2
HAZARD :
broo vp ntk flana ya elim mitaani bei qani
2026-08-04 22:47:58
2
j mo br@nd :
pole san br nakukubar kw elimu
2026-08-19 05:42:26
2
Eng. Abdullah :
mnapenda mtelezo, bhana em tafteni pesa msipende kulialia. vitu vizuri vipo shida pesa yako ti
2026-08-04 12:45:47
2
Abdunuru Simkwasa :
Kweli kabisa Kaka
2026-08-05 08:46:28
2
momo donge :
kweli mitaani lkn akiziacha hd ziwe pevu hazipat zinaibiw ndio maan wanafany hvy😁😄
2026-08-04 11:16:21
2
To see more videos from user @elim.mitaani.com, please go to the Tikwm
homepage.