@thevoiceofafrica21: Enzi za Mh Tundu Antpass Lissu alipokuwa kwenye Bunge la Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania 🇹🇿. Alikuwa mkali juu ya kutetea pesa za Umma zilipokuwa zinatumika vibaya #TheVoiceAfrica #tanzaniatiktok🇹🇿 #breakingnews #foryoupage #fyp
Mungu akutunze bro, unauchungu wa thati na nchi hii.
2026-08-19 14:23:39
4
Mhagama junior :
mungu akusimamie sana brother
2026-09-04 00:53:23
2
daudcharles909 :
Huyu ND anafaa kuwa,,,,
2026-08-21 06:15:10
2
Elias Hussein :
nikweli kabisa lisu
2026-08-19 11:01:59
2
mahupaabdul :
Enzi ambazo baadhi ya watu wenye akili na uwezo mkubwa wa kufikili walipata bahati ya kuingia bungeni kama wawakilishi wa wananchi. Tazameni yanayo endelea siku hizi hakuna kinacho eleweka yaani afadhali mkutano wa mainzi ambapo utasikia hata sauti zinazo fanana
2026-08-16 21:47:28
7
Kux de max :
Lakini sasa maskin akiiba kuku tu anafungwa jela eti kaiba vp haya mabilion sasa
2026-08-23 07:18:45
4
Jastine Matara :
haki ya mama huyu jamaa ana akili nyingi
2026-08-30 22:18:12
2
honesty $.com :
yan huyo ni legendary
2026-09-11 12:43:28
1
mwafrika halisi :
africa
2026-09-11 13:18:53
1
@captain 6 :
we acha tu
2026-08-19 18:12:07
2
victa :
Asate baba
2026-08-21 09:23:02
1
maruda.laseko :
kipinda Tanzania inaongoza watanganyika sio Sasa tunatawaliwa
2026-08-21 06:09:16
2
meku meku :
kitambo sana jamaa
2026-09-05 16:45:47
1
yasin_said😇 :
mkuu atar xana
2026-08-19 09:03:32
1
To see more videos from user @thevoiceofafrica21, please go to the Tikwm
homepage.